Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

Daaaah we jamaaa
 
Mimi nilikua na simu kitochi, kuna demu nlimtongoza sasa jina lake linaanzia na r tukabadirishana namba! Rafik yangu nae alimtongoza demu mwingine akampa namba yangu yeye alikua hana simu, huyo demu nae jina lake linaanzia na r!! Huyo demu wa rafiki yangu akantext sikumjua ni nan maana namba ngeni, nikamwambia wewe ni r??? Akajibu ndio, tukapeana appointment...mgahaea fulani sinza mugabe, nikaazima simu ya sonyericson nkajitambe huko...

Demu kutokea sio yeye ikabidi nikaze kiume.....sasa nikawa namtumia meseji jamaa niliyemuazima simu
Mimi; Demu mwenyewe niliekuwa nachat naye sio yeye mbayaaaaaaa.
Dah kumbe meseji nimemtumia huyo demu tumekaa meza moja.. nkasikia meseji imeingia tintiii, akaisoma akaguna mh!! Aisee nlidharirika balaaa FANTASTIC
 
Wewe ndo uliua zaidi mzee
 
Nimeanza kumuelewa mshkaji wangu sasa.Yy ana madem kama wa 5 biv na wote anasema anawapenda.Ila sheria yake ya siku zote ni kwamba NEVER TEXT. Akitumiwa message yy hajib ila atapiga tu cm muongee mpaka mmalize.Hanaga kabisa utaratib wa message kwa madem kukwepa mambo kama haya.
 
Yaani bonge la fedheha sema tu wazazi wa kike ni waelewa sana.
 
Fala sana wewe

Rushwa ya ngono hii
 
Kwenye group la watsap la wajukuu upande wa mama angu kuna siku brother etu mkubwa ambaye namuheshim sanaa alijichanganya bana akatuma picha ya manzi mweupee yuko uchi...aisee nilicheka sanaa.Baada ya muda nikaona deleted aisee nikaona sasa haya majanga.Maana ni mtu mzima halaf kaoa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…