Tuliowahi kutuma sms kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

M

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Messages
3,727
Points
2,000
M

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2013
3,727 2,000
mi nakumbuka nilipambana kutoa betrii nikasahau simu hata haina mfuniko,
batan ya power nayo haishikikiiii, msg icon n km inaterezaa, sijakaa vizur naambiwa msg derivered,
nilichofanya ni kuendelea kujichatisha maneno km yale yalee,
halaf mwishoni nikamwambia...
'nijibu haraka hamna umeme nimeomba tuu simu nikaweka laini kwa rafk yangu hapa anataka aichukue'.

Ujinga mwingne ni wasap, ile ku set popup msg, unatype unamjib huyu kwenye ku send ishaingia nyingnee inaungaaaa,
haya mambo hayaaa banaa, waweza umuombe dingi yako papuchuu, tena unafanya kumbembelezaa, unamwambia usiogopeee hawatajuaaa, nitakununulia chipsi na gauni, aloooo hio kesi hata hakimu haingilii, umnunulie dingi yako chipsi na gauni?

usiombee uwe unasubiria akutumie ada au pocket money, alooo mpk aje kukuelewa ushakula vyakula vyote vya mifugo.
Umenifanya nicheke sana aise
 
M

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Messages
3,727
Points
2,000
M

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2013
3,727 2,000
R.i.p bi mkubwa,moja ya matukio ambayo Maza aliniokoa ni hili kukosea msg halafu ikaenda kwenda mzee bahati nzur mda huo Maza alikuwa na simu ya mumewe anacheza game akaisoma coz namba yangu ni nyepesi akawa na uhakika imetoka kwangu akifuta bila mshua kujua.huwezi Amin ilikuwa nimetoka kupewa ada ya chuo usiku huo nikawa nampanga demu nyumba ya jirani twende kigamboni eti niliekuwa namdai kanilipa.kwa ninavyomjua mzee wangu siku ile ndio ingekuwa mwisho wa chuo...nilipewa risala Kali na asubuh tukaongozana na bimkubwa Hadi crdb azikiwe branch kuweka ile hela.
Aise we noma sana
 
M

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Messages
3,727
Points
2,000
M

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2013
3,727 2,000
Baada ya shoo, dem kamtumia jamaa sms

Dem: nilivyokuwa nakuona nilidhani ni >>> kumbe --
Jamaa: na mimi nilidhini ni ( ) au (( )) kumbe ni ((( )))

Sasa hiyo sms nikiwa form four nikiwa nataka kumtuamia rafiki yangu baada ya kununua kasimu kangu ka nokia tochi.; bahati mbaya nikatuma kwa mama mzazi na chumba changu kilikuwa kimepakana na jiko.
Baada ya kuwa derivered nikaisikia na mama akajua tu nimekosea namba baada ya mimi kuanza kuidai simu yake kwa nguvu sana.
Ila aligoma kunipa maana alikuwa akinilaumu sana kwa kuanza kutumia simu nikiwa bado shule. Pia alitaka kujua kwa nini ninalazimisha kupewa simu yake

Baada ya kusoma ile sms, akaishiwa nguvu na kunipa simu. Nilijisikia vibaya sana siku ile na nikaifuta tu ile sms. Ninachoshukuru hakumpa simu mzee ingawa alikuwa pale pale jikoni wakipiga story, maana ningeaibika mara mbili.
Unadhani hakumwambia ?
Lazima atakuwa alimwambia sema mshua alionywa achune asikusasambue
 
Holly Star

Holly Star

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Messages
762
Points
1,000
Holly Star

Holly Star

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2018
762 1,000
Kwa mama mbona fresh tu. Shida iende kwa mkeo
Hili kosa la kutuma sms kimakosa nahakikisha sitalirudia tena, nakumbuka niliwahi kumtumia mama yangu mzazi sms ambayo ilikuwa inatakiwa iende kwa demu flani hivi ,bahati mbaya ikaenda kwa bi mkubwa,sms yenyewe ilikuwa ni zile za kulazimisha kuomba show(sex),niliandika sms yenye maneno mazuri mno alafu ile sijaangalia vizuri nikaituma hapohapo ikaandika sms derived,daah macho yalinitoka balaa,haikupita dk mbili mama anapiga simu na alikuwa mtu wa dini kwelikweli,simu inaita jasho linanivuja nawaza nimdanganye nini,kuna sms zingine hata kama mzazi anajua mwanangu amekua sasa lazima zitakutia aibu,nikapokea simu mama anasema "mwanangu nini sasa hiki na wewe,maliza masomo yako ya chuo kwanza mapenzi yapo tu kilasiku ngono zitakuua baba " ile fedheha siwezi kuisahau kabisa.
 
Godee jr

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Messages
1,429
Points
2,000
Godee jr

Godee jr

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2012
1,429 2,000
Niliwahi safiri na Manzi hivi kukazi tukiwa kama team ila bahati mbaya tutatenganishwa baadae wao wakaenda mkoa mwingine. Sasa kuna mshkaji wangu nilimpa kazi ya kumchunguza wakiwa uko. Asubuh nikatuma msg huyo malaya wangu jana kalala saa ngapi matokeo yake badala kutuma kwa mshkaji nikatuma kwa manzi na uhusiano wetu ukaishia hapo hapo
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
39,933
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
39,933 2,000
Na mshua kuna siku alinizingua nikamsave “ndezi” mwanzoni kabisa hizi apps zilikuwa zinakuletea option ya ku re commend kutuma kwa wengine wajiunge mimi nikaselect contact zote, kumbe ile app ina copy hadi jina kwenye simu linaunganisha kwenye text, mfano nimesave jina lako megapixel inakutumia meseji “megapixel flani invite you”. Daah siku ilikuwa ndefu maana mshua alinitext nani ndezi
daah
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
39,933
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
39,933 2,000
Kwenye group la watsap la wajukuu upande wa mama angu kuna siku brother etu mkubwa ambaye namuheshim sanaa alijichanganya bana akatuma picha ya manzi mweupee yuko uchi...aisee nilicheka sanaa.Baada ya muda nikaona deleted aisee nikaona sasa haya majanga.Maana ni mtu mzima halaf kaoa.
Daah hatari sana
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
39,933
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
39,933 2,000
Niliwahi safiri na Manzi hivi kukazi tukiwa kama team ila bahati mbaya tutatenganishwa baadae wao wakaenda mkoa mwingine. Sasa kuna mshkaji wangu nilimpa kazi ya kumchunguza wakiwa uko. Asubuh nikatuma msg huyo malaya wangu jana kalala saa ngapi matokeo yake badala kutuma kwa mshkaji nikatuma kwa manzi na uhusiano wetu ukaishia hapo hapo
alikuwa anamaindi vitu vidogo
 
Nyaru-sare

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Messages
262
Points
250
Nyaru-sare

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2019
262 250
NILI WAHI KUTUMA OFISINI KWA BOSI WANGU NAMWAMBIA NAOMBA UNI-FIX KWA KAZI YEYOTE INAYO NIFAA KABLA YA MASOMO KUANZA.
NIKABONYEZA MWANA TAAAP! MESSAGE DELIVERY

KUANGALIA NUMBER NI, MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE. DUUU! BUT NIKAJIPA MOYO HAWA WANAKUWAGA BUSY!
GHAFLA BIN VUUU!!!!! JAKAYA KARUKA HEWANI, NIKAJUA KIFUNGO HIKOOOOO!!!!! TUKASALIMIANA AKASEMA, IMEBAKI MOJA TU UNATAKA? NIKASEMA NDIYO
NIKAPATA KAZI KIU LAINIII.
BAADAYE HUKU OFISINI KWANGU ORIGINALwalipopata habari hizi walitetemeka why!! why!!

NILIPATOKA WAKANIPACHIKA MAJINA MARA MZEE WA TISS , MJEDA, MKUDA NK .ETI SIRI ZAO NJE NJE!! . KIBOPA.MMOJA NILIYEKUWA NINAPIGA DEAL NAE ALIKUFA KWA PRESSURE ALIVO DHANI MI NI KACHERO MBOBEZI.
NA BAHATI MBAYA SANA OFISINI HAPO KALIPITA KM KA UPEPO HIVI, MABOSS WAKAHAMISHWA SANA, HII PIA ILICHANGIA HUYU MZEE KUPATA PRESSURE..
 
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
36,159
Points
2,000
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2014
36,159 2,000
That mama
R.i.p bi mkubwa,moja ya matukio ambayo Maza aliniokoa ni hili kukosea msg halafu ikaenda kwenda mzee bahati nzur mda huo Maza alikuwa na simu ya mumewe anacheza game akaisoma coz namba yangu ni nyepesi akawa na uhakika imetoka kwangu akifuta bila mshua kujua.huwezi Amin ilikuwa nimetoka kupewa ada ya chuo usiku huo nikawa nampanga demu nyumba ya jirani twende kigamboni eti niliekuwa namdai kanilipa.kwa ninavyomjua mzee wangu siku ile ndio ingekuwa mwisho wa chuo...nilipewa risala Kali na asubuh tukaongozana na bimkubwa Hadi crdb azikiwe branch kuweka ile hela.
 
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
36,159
Points
2,000
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2014
36,159 2,000
Hahaaaahaaa
Mimi nilikua na simu kitochi, kuna demu nlimtongoza sasa jina lake linaanzia na r tukabadirishana namba! Rafik yangu nae alimtongoza demu mwingine akampa namba yangu yeye alikua hana simu, huyo demu nae jina lake linaanzia na r!! Huyo demu wa rafiki yangu akantext sikumjua ni nan maana namba ngeni, nikamwambia wewe ni r??? Akajibu ndio, tukapeana appointment...mgahaea fulani sinza mugabe, nikaazima simu ya sonyericson nkajitambe huko...

Demu kutokea sio yeye ikabidi nikaze kiume.....sasa nikawa namtumia meseji jamaa niliyemuazima simu
Mimi; Demu mwenyewe niliekuwa nachat naye sio yeye mbayaaaaaaa.
Dah kumbe meseji nimemtumia huyo demu tumekaa meza moja.. nkasikia meseji imeingia tintiii, akaisoma akaguna mh!! Aisee nlidharirika balaaa FANTASTIC
 
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
36,159
Points
2,000
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2014
36,159 2,000
Nilikosea kutuma picha ya mahaba..baada ya kutuma kwa baby nikatuma kwenye group la wajukuu wa Bibi yangu (Kuna madada na makaka) namimi ndio mdogo kabisa..niliharisha siku ile
Daaah!hahahaaaa pole sanaaaa
 
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
36,159
Points
2,000
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2014
36,159 2,000
Ha
Ilitokea miezi michache iliyopita..... nilikuwa nachat na demu kupanga mtoko mwingine wa kubanduana nikakosea nikatuma kwa mpenzi, ghafla nikagundua nimetuma kusiko na kabla sijajiandaa mpenzi akanipigia nikashindwa kujinasua na talaka nikapewa......ila nilichogundua ni kwamba nae alikuwa ananitafutia sababu toka siku nyingi
 
A

Anill

Senior Member
Joined
Apr 3, 2019
Messages
186
Points
250
A

Anill

Senior Member
Joined Apr 3, 2019
186 250
R.i.p bi mkubwa,moja ya matukio ambayo Maza aliniokoa ni hili kukosea msg halafu ikaenda kwenda mzee bahati nzur mda huo Maza alikuwa na simu ya mumewe anacheza game akaisoma coz namba yangu ni nyepesi akawa na uhakika imetoka kwangu akifuta bila mshua kujua.huwezi Amin ilikuwa nimetoka kupewa ada ya chuo usiku huo nikawa nampanga demu nyumba ya jirani twende kigamboni eti niliekuwa namdai kanilipa.kwa ninavyomjua mzee wangu siku ile ndio ingekuwa mwisho wa chuo...nilipewa risala Kali na asubuh tukaongozana na bimkubwa Hadi crdb azikiwe branch kuweka ile hela.
 
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Messages
36,159
Points
2,000
Raynavero

Raynavero

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2014
36,159 2,000
NILI WAHI KUTUMA OFISINI KWA BOSI WANGU NAMWAMBIA NAOMBA UNI-FIX KWA KAZI YEYOTE INAYO NIFAA KABLA YA MASOMO KUANZA.
NIKABONYEZA MWANA TAAAP! MESSAGE DELIVERY

KUANGALIA NUMBER NI, MH. JAKAYA MRISHO KIKWETE. DUUU! BUT NIKAJIPA MOYO HAWA WANAKUWAGA BUSY!
GHAFLA BIN VUUU!!!!! JAKAYA KARUKA HEWANI, NIKAJUA KIFUNGO HIKOOOOO!!!!! TUKASALIMIANA AKASEMA, IMEBAKI MOJA TU UNATAKA? NIKASEMA NDIYO
NIKAPATA KAZI KIU LAINIII.
BAADAYE HUKU OFISINI KWANGU ORIGINALwalipopata habari hizi walitetemeka why!! why!!

NILIPATOKA WAKANIPACHIKA MAJINA MARA MZEE WA TISS , MJEDA, MKUDA NK .ETI SIRI ZAO NJE NJE!! . KIBOPA.MMOJA NILIYEKUWA NINAPIGA DEAL NAE ALIKUFA KWA PRESSURE ALIVO DHANI MI NI KACHERO MBOBEZI.
NA BAHATI MBAYA SANA OFISINI HAPO KALIPITA KM KA UPEPO HIVI, MABOSS WAKAHAMISHWA SANA, HII PIA ILICHANGIA HUYU MZEE KUPATA PRESSURE..
Hongera
 
Eizyek

Eizyek

Member
Joined
Aug 12, 2019
Messages
36
Points
125
Eizyek

Eizyek

Member
Joined Aug 12, 2019
36 125
Hili kosa la kutuma sms kimakosa nahakikisha sitalirudia tena, nakumbuka niliwahi kumtumia mama yangu mzazi sms ambayo ilikuwa inatakiwa iende kwa demu flani hivi ,bahati mbaya ikaenda kwa bi mkubwa,sms yenyewe ilikuwa ni zile za kulazimisha kuomba show(sex),niliandika sms yenye maneno mazuri mno alafu ile sijaangalia vizuri nikaituma hapohapo ikaandika sms derived,daah macho yalinitoka balaa,haikupita dk mbili mama anapiga simu na alikuwa mtu wa dini kwelikweli,simu inaita jasho linanivuja nawaza nimdanganye nini,kuna sms zingine hata kama mzazi anajua mwanangu amekua sasa lazima zitakutia aibu,nikapokea simu mama anasema "mwanangu nini sasa hiki na wewe,maliza masomo yako ya chuo kwanza mapenzi yapo tu kilasiku ngono zitakuua baba " ile fedheha siwezi kuisahau kabisa.
Siku moja boss alinitumia meseg kwamba nimtumie ela bahat mbaya nilikuwa nachat na mtu mwengine bila kujua nikaludisha jibu acha us***e ya nin we mot wake ilibaki kidog na kaz iote maana alipanik atari
 
Forum statistics

Threads 1,325,747
Members 509,278
Posts 32,201,710
Top