Tuliowahi kutoka kimapenzi na walimu wetu tukatane hapa

Wadau amani iwe kwenu.
Nakumbuka kuna mada fulanifulani nilizowahi kuleta humu kuhusu mimi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwalimu wangu wa hesabu.

Sasa ukweli wenyewe ni huu, Je ilikuwaje? Niliendeleaje baada ya hapo?
Nakumbuka kuwa miaka 2000 na niliingia kidato cha kwanza katika shule moja ya bweni.Nakumbuka ilikuwa ni mwezi wa nane nikiwa kidato cha kwanza (Aisee huenda nina mambo ya ajabu sana) walikuja walimu fulani wa mafunzo kwa njia ya vitendo kutoka vyuo vya ualimu. Walikuwamo wadada fulani waliokuwa wamevalia sare (Uniform za shule) sketi na shati! Sasa siku moja nafanya mtihani wa hesabu nadhani ilikuwa ni wa robo ya tatu ya muhula alikuja mmoja wa wale walimu ambaye naomba nikiri kuwa alikuwa kifaa haswa na wowowo la uhakika. Huyu alikuja kwa ajili ya kutusimamia mtihani.Sasa kumbe alipokuwa amekaa mbele ya darasa alikaa kihasara hasara sana ile kunyanyua kichwa tu na kuangalia nilijikuta mwili ukifa ganza! Nikawa siwezi hata kuandika, kufikiri kukakwama nikajihisi jasho tu likinitiririka! Aisee sitokuja niisahau ile siku. Basi kutokana na hali ile nikashindwa kabisa kufanya mtihani kwa "speed" inayotakiwa na kujikuta nimebaki peke yangu wa mwisho darasani. Dah nikajikongoja hivyohivyo huku mwalimu akinisisitizia kuwa muda umeisha ila akanitia moyo kuwa nimalizie tu maswali. Baada ya mtihani nikawa naanza kumzoea muda mwingine natinga gheto alilokuwa anaishi huku akinifundisha na kwakweli nilikuwa najiweza kiakili....Ule mwezi kilichokuja kutokea imebaki kuwa kumbukumbu kwangu. Nilijifunza jambo kuhusu wanawake na nikawa nalitumia hadi siku hizi.

Nilikuja tena kutoka na mwalimu mmoja wa o-level kipindi nikiwa form five! Kwenye genye huwa hakuna adabu kabisa. Unaweza kufanya lolote lile bila kuogopa daaah!
Wewe siasa tu ndio inakufaa...huku Ni sawa Ni mmasai kwenye disco
 
Daah prof. madam nanliu weee! nipo mbioni kuja huko, kiporo kisichochacha hahahaaa
 
Hicho ulichojifunza kuhusu wanawake ni nini mkuu?
 
Ungesema miaka yote ila sio miaka ya 2000
Enzi hizo wengi wetu tulikuwa hatuangalii wowowo
Na waschana au waanawake wa enzi izo walikuwa hawavai vimini
Vimini vimeanza around 2005 na tumeanza kunotice wowowo mwaka 2008
 
Mwalimu wa kike kutoka na denti ni nadra, ila mwalimu wa kiume kutoka na denti wa kike ni sana tu, kwahiyo wanawake mje mtusimulie ilikuwaje hadi ticha akakupiga pumbu
 
Back
Top Bottom