Naomba nitambue uwepo wa members wote wa ke/me katika suala hili kuntu la kutendwa,itoshe kusema itifaki imezingatiwa.
Moja kwa moja kwenye mada,suala la mahusiano la kimapenzi linapitia katika changamoto nyingi sana.Pamoja na changamoto hizo hakuna maumivu makali yanayouma pale inapotokea mmoja wenu anatendwa bila kutarajia.Hivyo kwa mantiki naomba wale wote tuliowahi kupigwa kibuti tupeana kasoro za sababu zetu za kutendwa na nini kifanyike ili tujirekebishe,
Ahsanteni,sasa naomba tuanze kutiririka
Naomba nitambue uwepo wa members wote wa ke/me katika suala hili kuntu la kutendwa,itoshe kusema itifaki imezingatiwa.
Moja kwa moja kwenye mada,suala la mahusiano la kimapenzi linapitia katika changamoto nyingi sana.Pamoja na changamoto hizo hakuna maumivu makali yanayouma pale inapotokea mmoja wenu anatendwa bila kutarajia.Hivyo kwa mantiki hii naomba wale wote tuliowahi kupigwa kibuti tupeane kasoro za sababu zetu za kutendwa na nini kifanyike ili tujirekebishe,
Ahsanteni,sasa naomba tuanze kutiririka
Napokea simu kutoka kwa washikaji."oya sam dem wako washamtia mimba huku",onhoo my God,simple like thatNaomba nitambue uwepo wa members wote wa ke/me katika suala hili kuntu la kutendwa,itoshe kusema itifaki imezingatiwa.
Moja kwa moja kwenye mada,suala la mahusiano la kimapenzi linapitia katika changamoto nyingi sana.Pamoja na changamoto hizo hakuna maumivu makali yanayouma pale inapotokea mmoja wenu anatendwa bila kutarajia.Hivyo kwa mantiki hii naomba wale wote tuliowahi kupigwa kibuti tupeane kasoro za sababu zetu za kutendwa na nini kifanyike ili tujirekebishe,
Ahsanteni,sasa naomba tuanze kutiririka
Unanyota virubber sio vibuti.Me Jana tu nimepigwa kibuti kingine duu,..sijui Nina nyota ya vibuti...
Hahaha una tabia mbaya..Unanyota virubber sio vibuti.
Point ..ila inategemeana na manzi yenyew maana nyingine huwa zina weka kona nyng kupima ukomavu wa counter part tuuu..,so unatakiwa umkomalie mpaka aseme..yeye.mwanaume kupigwa kibuti ni upumbavu!! mwanaume inabidi ujue kusoma alama za nyakati sio katika mambo ya mkwanja tu hata katika mapenzi. Ukiona mwanamke haeleweki unamchinjia baharini mapema kabla kibao hakija kugeukia!!
Nahisi huo uandishi wako ndio ulimfanya akuache. Maana alishindwa kutofautisha msg zako na zake.Duh cyp kisport sport jaman. me yupo dem moja alianichaga na 7bu cjaijua hadi leo.