Hicho ndicho sikiwezi mdomo ni kwaajili ya kula,kuongea na kubusu sometimes unapozidiwa unautumia kama siraha.. mtu kakutia kabali moja matata na umefanya mbinu za kutoka umeshindwa then ki mkono chake kimeukaribia mdomo au wale wanaopiga kabali anakuweka nyuma ya mgongo wake! Hapo ndo utajua meno pia ni muokozi wa maisha yako😂😅[emoji23][emoji23][emoji23] moja ya part ya kwenye kwich kwich.
It pays off
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mwanamke hutoa pesa kwa mwanaume anayempenda kwa dhati, tofauti na sisi wanaume wakati mwingine huwa tunatoa pesa kwa malengo mahsusi.Mkipendana kwa dhati na kila mtu akamuelewa mwenzake basi hilo jambo linawezekana kabisa
HahahahahNilivyokuwa mdogo, mama yangu alikuwa ananipa pesa ya matumizi shuleni.
Hongera sana mkuu.nilipewa sana tena zaidi nikisema nina shida na kitu fulana nashangaa imesibitishwa ..
Kuna muda mpaka nilikuwa napiga mkwara kuwa usinitumiep pesa yoyote acha nikae na matatizo yangu lakini nashangaa kitu kimesoma...
Ohoo mkuu we ndo marioo sasa[emoji23][emoji23]Duh namkumbuka muhaya wangu alikuwa ananipa vihela vyavocha Mungu akubariki popote ulipo maana nilikutenda kwasababu sikukupenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Take care[emoji16][emoji16]Mimi kuna dem wa kimbulu yuko njiani ananiletea 1.7m,ndio namsubiria hapa mguu wa mjerumani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Alinipa laki mbili ila baada ya mwaka mmoja tukaachana, ilipo pita miaka miwili akapigasimu kunidai
[emoji23][emoji23][emoji23]He he! Nyinyi si mnawaramba uchi ndio maana..[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960][emoji2960]Hicho ndicho sikiwezi mdomo ni kwaajili ya kula,kuongea na kubusu sometimes unapozidiwa unautumia kama siraha.. mtu kakutia kabali moja matata na umefanya mbinu za kutoka umeshindwa then ki mkono chake kimeukaribia mdomo au wale wanaopiga kabali anakuweka nyuma ya mgongo wake! Hapo ndo utajua meno pia ni muokozi wa maisha yako[emoji23][emoji28]
Salute kwa meno ni mtetezi muaminifu..[emoji106]
Awapi!Ulimrudishia sasa
121.
Wahaya wana nzuri sana,pasaka nimepigwa shoping,nikatolewa out na familia yote,na pocket money juu,Mungu akubariki muhaya wangu.Duh namkumbuka muhaya wangu alikuwa ananipa vihela vyavocha Mungu akubariki popote ulipo maana nilikutenda kwasababu sikukupenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa kile namaanisha mkuu,Dada sio katiba, eti mwanamke hawez msaidia mwanaume in terms of money.
Shida tumeumbiwa binadamu alafu ukizingatia ulie nae ni ur other half kwanini usimuombe akusaidie pale unapokwama.
Km mnavyotuomba tukiwa na shida na sisi pia sio dhambi kuwaomba tukiwa na shida.
Sent using Jamii Forums mobile app