I second that... Ana shida mahaliDon't feel offended and sorry from that creature because i met him from different forums,he's ill mannered and stupidest utopian and always look down on other people. F***k him!
duh! pesa ya mwanamke ni hatari kwa afya ya akili..
we paka shume kweli, umeelewa hata au kufikiria critically au umebweka tu kama mbweha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooow! Such amazing soul,Nadhani ni mara ya kwanza naambiwa maneno makali kiasi hichi.!
Nisamehe Mimi bure Mr. Billions, sina tatizo nawe and this ain't even personal.!
I'm so sorry.!!
I'm so humbled sweetheart,Ooow! Such amazing soul,
Bless you Carleen,
Am sure amejidharau sana huko alipo.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Asilimia kubwa ya wanawake wanaotoa pesa ni wale wanene....wale wembamba kula pesa yao inabidi ukatambike
HakikaHela ya mwanamke ni chungu sana, ina masimango na manyanyaso.
Mkuu haya maneno yanaonyesha experience km sikosei[emoji23][emoji23].Asilimia kubwa ya wanawake wanaotoa pesa ni wale wanene....wale wembamba kula pesa yao inabidi ukatambike
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sisi wengine ni mabonge nyanya na hela hatutoi hata mia mbovu.Asilimia kubwa ya wanawake wanaotoa pesa ni wale wanene....wale wembamba kula pesa yao inabidi ukatambike
Unaparamia makurumembe mzee, mademu yameumizwa kwenye mapenzi hadi mioyo yao imekuwa sugu, Tafuta watoto waliositaarabika mzee, wanaotoka katika familia bora, hawatafuti mwanaume kwa ajili ya kodi bali wanataka mapenzi..
Sent using Jamii Forums mobile app