Tuliowahi kulala Sero/lock up kwa ujinga

Bless up King

Bila shaka sasahivi una kwako maisha yanaenda poa.

Nimesoma kisa chako nikakumbuka filamu ya Lion.

Watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu ni moja ya kundi linalopata shida sana kwenye jamii.

Niliwahi kukutana na mtoto miaka minne yupo street. Moyo wangu ulivunjika.

Stay strong warrior
 
Pamoja sana kamanda! Nilipokua naiandika hiyo meseji machozi yalikuwa yananitoka aseeee! Kuna wakati najaribu kugeuka nyuma naangalia kule nimetoka najikuta tu nanyanyua mikono namshukuru Mungu kwakunilinda. Sikuwahi kuvuta kilevi chochote, sikuwahi kunywa pombe wala kuwa mdokozi au mwizi kipindi nimepita huko. Nilipendwa sana na watu wenye maduka yao hata wakati mwingine nilikuwa nalala kwenye maduka yao. Zamani maisha yalikua mazuri watu walikuwa na upendo mwingi sana lkn sasa hivi wanadamu wamekuwa hatari sana[emoji33]

Ni kweli sasa hivi nafamilia yangu maisha mazuri napambana kuhakikisha hali niliyopita wanangu wasijepitia by force, by fire!
 
Pole sana Madame B. Hakika Mungu alikuwa na wewe.
Asante mkuu.
Huwa wakati mwingine unapatwa na jambo mpaka unaona dunia imekuacha peke yako.
Halafu huwa najiuliza, laiti yule trafiki asingetokea pale na kusema kuwa kaambiwa gari imeonekana Magomeni, leo hii mimi ningekuwa wapi!!!
Wakati mwingine malaika huja kwa njia ingine tofauti na katika maumbo na mavazi mengine.

Mkuu kama wewe ni mpenzi wa movie za ushuhuda, tafuta hii movie "Miracles from Heaven" hakika unaweza lia kwa hisia.
 

Na demu akamchukuwa au?
 
Watu wa ''Dalisalama'' Kiswahili chenu mnakijua wenyewe.....mimi umeniacha ''Magoti''............!!!!
 
Watu wa ''Dalisalama'' Kiswahili chenu mnakijua wenyewe.....mimi umeniacha ''Magoti''............!!!!
 
Nilikuwa naendesha gari natokea Amani naenda meli 4. Kufika kwerekwe nikakutana na mshakaji wangu akaniambia turudi Amani kwenye baa flan tukapate msosi
Baada ya kula tukaanza kutupia vyombo, kuna wengine walikuwa wanacheza kamari ya pool. Nikawatamani, nikilewa nakuwa mtam sana kwenye pool,
Niliwapuna kumbe ni maaskari, kuna kioo kilikua chino kdg kumbe waliniwekea bange kwenye gari. Tunataka kuingia garini tu, tumevamiwa na askari 4. Tulikaa lockup lakini hatujalala. Niliwarudishia hela niliowala na zile bange zao tulizivuta pamoja!"
 
Asante. Nitaitafuta.
 
Kuna kitu cha kujifunza apa
 
Wengi naona wamelala sero ajiri ya pombe, kwaiyo muache pombe ipo siku mtajukuta na jipsi bando tepe tepe
 
Ni mlevi kiasi, huwa naogopa, nakwepa, sipendi ije itokee na sijawahi wekwa sello!

Kuwekwa selo kwa sababu ya ulevi ni aibu kubwa
 
Bila Shaka Huyo alikuwa afande WA Kiume
 
Duuh pole...kwanza ni aibu kukaa mule...natamani kujua nyumbani ulibrush vipi
 
Maisha watu tunatoka mbali sana mkuu,safi sana kuona umepiga hatua maana ulipotoka ni kugumu

Ova
 
Duuh pole...kwanza ni aibu kukaa mule...natamani kujua nyumbani ulibrush vipi
Yaani ilikuwa shemeji akija nyumbani kusalimia nilikuwa sitoki chumbani mpaka anaondoka.
Ila nashukuru Mungu hii ishu ilikuwa siri kati yangu, dada na mmewe (shemeji aliyenisaidia) tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…