uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 14,676
- 26,437
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nilikuwa muumini sana wa mikopo ya online kwa kipindi cha nyuma na app yangu pendwa ilikuwa ni Tala. Nilikuwa naipenda sababu pale nilipokuwa kwenye mazingira magumu ilikuwa ni rahisi sana kupata pesa kupitia app hiyo, yaani ilikuwa ni kitendo cha dakika 5 tu mzigo umeshaingia.
Sasa leo hii naona ile ile apps inaendelea kutoa mikopo lakini kwa pesa za kikenya yaani ukitaka kukopa inakuletea Ksh....jeh? Ina maana wamebadili mfumo siku hizi au vipi? Sasa ili mtu aweze kupata pesa za kitanzania afanyaje? Wale wakopaji wenzangu hebu tupeane uzoefu
Kuokopa hela Za Matumizi is a mindset and slavery! Yani from what you write, maisha yako Ni virungu, mikopo Na advance! Sometimes komaa!