Tuliowahi kukopa online tukutane hapa

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nilikuwa muumini sana wa mikopo ya online kwa kipindi cha nyuma na app yangu pendwa ilikuwa ni Tala. Nilikuwa naipenda sababu pale nilipokuwa kwenye mazingira magumu ilikuwa ni rahisi sana kupata pesa kupitia app hiyo, yaani ilikuwa ni kitendo cha dakika 5 tu mzigo umeshaingia.

Sasa leo hii naona ile ile apps inaendelea kutoa mikopo lakini kwa pesa za kikenya yaani ukitaka kukopa inakuletea Ksh....jeh? Ina maana wamebadili mfumo siku hizi au vipi? Sasa ili mtu aweze kupata pesa za kitanzania afanyaje? Wale wakopaji wenzangu hebu tupeane uzoefu

Kuokopa hela Za Matumizi is a mindset and slavery! Yani from what you write, maisha yako Ni virungu, mikopo Na advance! Sometimes komaa!
 
Ukweli unauma Ndugu, Fanyia Kazi ushauri; mkopo should be: 1. Kukuendeleza Kwenye biashara, 2. Dharura!

Sasa wewe kila mwezi wakopa kununua unga Na Dagaa? Komaa mwanaume utakuja kufa Na madeni!
mama yako umeshamwambia ayo dada yangu? mwambie kwa mama acha kukopa kopa kwa mangi unanidhalilisha! tena hujui tu kinachoendelea na yule mangi sasa we endelea nikuwekee ushahid wa mama yako na mangi uone nini kinaendelea
 
Branch International hadi hivi sasa wanafanya vizuri kwenye soko la kukopesha mtandaoni.
 
Ukishauriwa pokea ushauri, kuutendea kazi au kutokuutendea hapo ni jukumu lako binafsi..
 
kuna dada mmoja hapo anashangaa mtu kukopa wakati mama yake kila siku yupo dukani kwa mangi analialia akopeshwe mpaka sasa hv hatua waliyofikia yule mama yake na uyo mangi jamaa akijua anaweza hata akajinyonga! hv kukopa branch hakuna hata mashart yeyote na kukopa mtaan afadhali ya nin? na kama uyu dada ninayebishana nae hv sasa ..jeh! ye ana uwezo wa kumkopesha mtu wakati kula yake yenyewe tu shida! anakuja na utoto wake wa fb uko
 
mama yako umeshamwambia ayo dada yangu? mwambie kwa mama acha kukopa kopa kwa mangi unanidhalilisha! tena hujui tu kinachoendelea na yule mangi sasa we endelea nikuwekee ushahid wa mama yako na mangi uone nini kinaendelea
mboa kama umepanick mkuu..ukioa ushauri haukufai unakula kimya tu!
 
Ukishauriwa pokea ushauri, kuutendea kazi au kutokuutendea hapo ni jukumu lako binafsi..
umeamini kama wewe ni chizi eeh? sasa kusema mi nimefungiwa kwakuwa nadaiwa huo ndio ushauri? wewenhujatoa ushaur umeleta kashfa sasa jifunze dada yangu sio kila mtu umu jukwaan anafurahishwa na kauli zako za kishenz wengine watakuingiza kwenye matatizo bule, we umeleta kashfa unasema umeshaur
 
mama yako umeshamwambia ayo dada yangu? mwambie kwa mama acha kukopa kopa kwa mangi unanidhalilisha! tena hujui tu kinachoendelea na yule mangi sasa we endelea nikuwekee ushahid wa mama yako na mangi uone nini kinaendelea

Mie hata ukitukan sina shida Ndugu, ukweli Ni kwamba acha hiyo life
 
umeamini kama wewe ni chizi eeh? sasa kusema mi nimefungiwa kwakuwa nadaiwa huo ndio ushauri? wewenhujatoa ushaur umeleta kashfa sasa jifunze dada yangu sio kila mtu umu jukwaan anafurahishwa na kauli zako za kishenz wengine watakuingiza kwenye matatizo bule, we umeleta kashfa unasema umeshaur

Sasa unamtukana tena Huyu kakukosea nn?
 
mi ni mtu ambaye napokea sana ushaur ispokuwa yeye kaja na kashfa ooh! anadaiwa uyo kwaiyo atakuwa kafungiwa sijui na mambo kibao sasa huo ni ushaur
kauli zake hz sio poa ni bora tumueleze ili ajue anachokifanya sio poa sababu sasa hv kafanya lwangu ataona kawaida , baadae kwa mtu mwingine, kesho tena kwa mtu mwingine kwaiyo ni vyema tukamwambie ili ajue kuwa kuna kauli nyingine zitakuwa zinawakwaza watu ukihis huna mchango kaa kimya kuliko kuleta maneno meeeeengi at the end unakuja kutoleana maneno machafu na watu sasa sio poa! ukihis unataka kumshaur mtu tumia lugha safi tu sio lazima ulete kashfa
 
Mimi hata ukitukana sina mgogoro, nitafanya Na kusema nachokiamin, punguza kukopa!

Ukion mtu anakopa Kwa stranger ujue kamaliza Kwa cycle ya kazini, majiran Na Nyumba ya Ibada....

Hizi online how much money can you borrow? Peanut, only for food, that is my argument, komaa !
 
Mie hata ukitukan sina shida Ndugu, ukweli Ni kwamba acha hiyo life
we jamaa mgumu sana kuelewa...nimekwambia anza na mama yako ambaye anaidhalilisha familia yenu hutaki unanikomalia mimi si ndio maana nakushangaa? ndio maana nikakuuliza matako yanakuwasha? maana naona yaan full kunishobokea...mimi nikiwa nashida nikakosa altenative nakopa tu wala siachi...!! kwaiyo wala hata isinoshaur kitu
 
Acha kukopa, utauzwa Na mke Na watoto! Mpaka online unakuja uliza mbinu Za kukopa?
 
siachi wewe na wala hunishaur lolote yaan kwakuwa kaamua kuuza mama yako ndio imekuwa shida.....!! mama yako kashauza kwa mangi kama unabisha utakuja kubain ukweli siku chache zijazo maana wamejificha weee lakin mapenzi hayana kificho utakuja kuona tu na ulete mrwjesho wa hiki ninachokueleza
 
Kila la heri!
 
Kila la heri!
jifunze we dada iwe mwisho kwangu yaan ukijiskia kukashfu bas ni bora ukanikashfu mimi na sio mtu mwingine tana umu jukwaan...utajikuta unagombana na kila mtu kwa hizo tabia zako! kama una ushauri tumia lugha nzuri kumshauri mtu lakin ukijifanya kila mtu unamletea kashfa utagombana na watu wote umu jukwaan
 
Unajiona mjanja? Ushakopa? Tumia vizuri
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom