Tuliowahi kufumania/kufumaniwa/kushuhudia fumanizi tupeane shuhuda hapa!!!

Ulifumaniwa nini???
 
 
Hahaha huyu dada kama wa kwangu
 
Kwetu kuna mzee mtoto wake wa kiume akifumaniwa alikuwa anawaambia watu amekua huyo mwacheni analipa faini
 
yani hata hamu sikua nayo maana kwanza nilikua mjamzito na mtumbo huo nimechoooooka,
Pili bumbuwazi la akili maana dada ni mpole sana sikuamini kama ndo alikua anakatika pale.
Wanawake wapole ndio wanajua Mambo kwenye Sita kwa sita🤣🤣🤣🤣
 
Katika maisha yako kamwe usijekubali kuwa ulizini na mtu hata kama umekutwa jifunze kukataa katakata m nimejifunza hichi kitu sasa we ukubali ukihic utasamehewa kumbe ndo unajifunga.
 
Hii thread imenikumbusha jambo ambalo siwezi kusahau kamwe

Nilifumaniwa red handed,
Mzee aliaga amesafiri kumbe hakuondoka, sasa kuna jamaa nilikua namzimia jirani yangu

Tukawa tunachat akanikaribisha ndani, nikaenda mida ya saa nne usiku, nimefika tu juu juu tukavamiana mechi ikaanza

Show ya kibabe (sitoisahau) kuja kushtuka ni saa nane ,
Ile natoka nafika getini Mr huyu hapa,

Sijui hata nilipita wapi Ila nilijikuta nipo kichakani nimejificha, Yule jamaa nae sijui alipita wapi hakukamatwa!

Mr akanivizia akanidaka nikazolewa mpaka ndani

Usiulize kilichofuata!
 
Hapo lazima waendeleee tu kama mtoto n mkubwa haina kwere usiwaletee noma maana hata ww unakulana vzr tu na huyo Mr wako ila wape tahadhal ila kama mtoto n mdogo watambemenda huyo dogo.
 
1)Duh,huyo jamaa baada ya huo mkasa ikawaje mkaendelea kujiiba au mlipotezeana???

2)Mr wako ni kwamba ulikuwa unampenda kweli au uliamua tu kuwa naye kwasababu?
 
Dah umenikumbusha kisa kimoja jamaa alikata mguu Na chensoo huko Moro sijui alifumaniwa yule?
 
Umeishia kati malizia utamu.
 
1)Duh,huyo jamaa baada ya huo mkasa ikawaje mkaendelea kujiiba au mlipotezeana???

2)Mr wako ni kwamba ulikuwa unampenda kweli au uliamua tu kuwa naye kwasababu?

Hapana we ended up
Japokuwa alikua ananitumia SMS za vitisho n.k ila nilimpuuzia

Nampenda hamna maelezo

Ila kipindi hicho tulikua tuna mgogoro fulani hivi uliotufanya kila mtu akawa busy na mambo yake
 
Yaani unafumania na unapigwa mkwara kwa mali yk mwenyewe duh.. Akiyamama nitakufa na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…