rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,450
- 41,815
Ulifumaniwa nini???
Hiyo kitu ni mbaya sana aisee, usiombe yakukute, cha muhimu ni kujutia makosa thn usirejee tena. Kwani kipande cha nyama nilikitafuna Mara Bilioni 3 mdomoni nikiwaza nini nitafanyiwa na jamaa mwenye mke, ila nashkuru yaliisha salama na mpaka sasa najutia zambi zangu ila Mwenyezimungu ndio msamehevu kwetu.