Tuliowahi kufumania/kufumaniwa/kushuhudia fumanizi tupeane shuhuda hapa!!!

Wanawake wanaroho ngumu sana. Ilikuwa 20/5/2005, kuna dada mmoja aliningangania nimsindikize kwake jioni ya siku hiyo, tunaheshimiana sana. Nilimsindikiza mpk kwake akanipikia chai, ilikuwa kipindi cha baridi arusha. Story ikanoga hadi msosi ukanikuta hapo... Saa 4 usiku hivi akanishawishi nilale coz bwanake ameenda kahama kuchukua mchele hivo akaniambia anaogopa kulala peke yao yeye na mtoto tu. Nilikataa kwa mda baadae nilipoona inagonga saa 5 ilibidi nikubali... Akanipatia chumba cha kulala cha wageni. Tunaheshimiana na huyo dada maanake hata story za matusi hatuongelea... Wakati nimelala hivi kuna kitu akakileta pale chumbani, hapo nilianza kumtania nami pia naogopa kulala hapo mwenyewe, akacheka mi ckucheka ili nionekane niko serious na uoga. Alipoona nimemaanisha nibaki nae, akasema bas atarudi baadae km nusu saa hivi... Nikaona haji nikamfuata chumbani kwake, akanishangaa sana nimebadilika tabia na hakutegemea km niko hivo... Nikajitoa ufahamu nikalala karibu yake kumsumbua akaniachia mzigo, nilipiga moja, cha pili nikaomba nihame nae kule chumbani kwangu ili tuwe huru dhidi ya mtt wake. Tulipofika sasa aibu yote tuliweka mfukoni tulipiga show ya uhakika kila mtu akawa hoi usingizi ukatuchukua mpk saa ngp sijui. Nilishtuka mtu anagonga mlango, sauti ni ya mme wake msukuma, mwili ulikufa ganzi nilitamani ardhi ipasuke afu hapo niko uchi na sijui nguo niliweka upande... Yule dada akaniambia nitulie ondoa hofu, akanishika mkono huku amenikusanyia nguo na viatu vyangu kifuani nijikaze nisiheme ovyo akanisimamisha nyuma ya mlango afu akaninongoneza kitu. Afu akafungua mlango wakasalimiana na msukuma wake afu akamwomba amsindikize choo cha nje. Nilipoona wanavuta hatua mi nikatoka kwakunyata, nguo kifuani huku nikiwa uchi kabisa, nilifika geto, geto langu liko umbali km kilomita mbili hivi, nikiwa uchi hivo hivo nikiwa naona km sinema vile.
umetisha mkuuuu utarudia tena haka ka mchezo
 
Sijawahi fumaniwa mkuu, ila kuna tukio moja lishawai tokea... nadhani wangenikuta, wangenikata kichwa.

Anyways, this was when i was young and didn't know any better. Definitely not my proudest moment.

Kulikuwa na family friend mmoja, nilikuwa nasoma na watoto wake.

Nilikuwa naenda nyumbani kwa huyo family friend every now and then.
Sasa huyo family friend alikuwa na watoto wa kike, na mmoja wao alikuwa ndo age mate wangu.
Tulikuwa na mazoea ya hapa na pale ila nothing much, kitu kimoja huyu mtoto alichojaliwa nacho ni kifua, so kila saa nikimuona lazima nimpe complement yake.

Nyumba yao ilikuwa unaingia unakutana na sebule, halafu mbele kuna mlango..baada ya mlango ndo kuna vyumba. pia sebuleni kwa kulia, juu kuna dinning, halafu mlango, then jikoni. Sebule yao ilikuwa one of those sunken living rooms.

Sasa siku ilikuwa jioni nimeenda nyumbani kwako, nimemkuta kajilaza tu kwenye kochi anacheki tv. Dada zake wametoka. Beki tatu wako jikoni, walikuwa wamezoea sana kukaa jikoni. Maza ake yuko chumbani. Mzee wake hakuwa anakaa pale, yeye ameajiriwa mkoa mwingine.

Baada ya stori mbili tatu nikasogea mpaka alipokuwa amejilaza. Taratibu nikaanza kumpapasa, yeye ananiangalia tuu, kama nilivosema amejaliwa kifua, nikaanza ku-caress her breast, na nilizitomasa hasa, mtoto wa watu alikuwa ameelemewa/kalegea hadi huruma. All this time naangalia kwenye milango yote miwili, wasije wakatukuta.

Tumeendelea kushikana shikana weee, huku we are making out, kama mnavojua mkiwa in the moment, mtu unaweza ukajishtukia umefanya lolote. Basi ndo ilichotokea kwetu, we were both horny, so tukaamua tu-risk it. Tulibanjuana pale pale kwenye kochi, ingawa kwa ukimya wa hali ya juu. Sema mimi macho yote yalikuwa milangoni, huku roho mkononi. Hakuna siku moyo ulinidunda kama siku ile.

Tulivomaliza kufanya yetu, nikasepa zangu bila hata kuaga. Definetly one of the riskiest places i've had sex. Ndo maana nikasema ningekutwa nadhani wangenikata kichwa. Sio kwa ufuska ule.

Mkuu naamini kama uliamua kufanya biashara kwa sasa hivi zitakuwa Mubashara. What a risk taker. Duh sio kwa genye hizo dadadeki.
 
Pole sana kwa dhahama mkuu...

Unaendeleaje lakini!
NADHANI HUJAELEWA......NIMESEMA WALA SIWAZII KUTOKEA(KUTEMBEA NA MKE WA MTU MAANA MATOKEO YAKE NI KUTOLEWA RINDA) THATS WHY SIWAZII MIMI KUTOKEA KUTEMBEA NA MKE WA MTU
 
Dah, poa jembe! nikajuwa jamaa walifanya yao
 
Nilikua nahisi Shemeji Yangu anakula binti wa Kazi,yaani Siku narudi kazini milango IPO wazi mtoto kalala chini na Nyumba IPO kimya,I got a second opinion labda dada katoroka chaajabu niliwakuta juu ya meza ya Jikoni ,anafanywaaa mpaka analia machozi,ilibidi nisimame kwa muda kuna wanapoishia walipokojoleana ndo wakaniona,shemeji alikimbia sikumuona kwa wiki kama 4,mpaka Mr aliporudi safari ndo akarudi nae,binti wa Kazi alikua ananifaa sana kwa mtoto na Kazi so sijamtimua nnae tu,tukikumbuka tunacheka basi
Nimecheka sana aisee. Mi ningekuwa shemeji yako nisingerudi.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
An mm nkitaka kutongoza tu nauliza vpi ushaolewa au una mtt akisema nimeolewa na chenji gia akisema ana mtt naondoka bila hata kuaga

Hio njia imeniokoa sana

Mke wa mtu sio jaman story zake mbaaaaya balaa yaan
Kuliwa ndogo naogopa sana
 
Haaaah umeua mchana kweupe unamla mtu sebulen kwa na watu wengne wapo nyumban mkuu???
Ila vya hvyo vinautamu wa aina yake looh
Ndio vinanoga, ila inabidi ujitoe ufahamu haswa. Maana wakikudaka, wewe ni halali yao.
 
An mm nkitaka kutongoza tu nauliza vpi ushaolewa au una mtt akisema nimeolewa na chenji gia akisema ana mtt naondoka bila hata kuaga

Hio njia imeniokoa sana

Mke wa mtu sio jaman story zake mbaaaaya balaa yaan
Kuliwa ndogo naogopa sana
Na siku hz watu wakiskia fulan kufumaniwa mawazo yao yote yanakuwa ameshatatuliwa marinda noma sana
 
Hii ningefumwa cjui ingekua vp maan mwenye watoto ni mchaga alf ni moto balaa mtaan wanamuogopa

Nilipata dem mtoto wa huyo mzee sa alkua anaenda kazini asubuhi na kurud saa 10 jioni.
huyo dem alkua na ndugu yake wa kike so kwa hyo nyumba mama na mzee wakienda kazini wanabak hao madem wawili na kitot kidogo ka mwaka mmoja hv
Sa nilijenga mazoea ya kwenda kwao mara kwa mara na mshkji wangu mmoja hv tukifika tunawagana hao madem kila mmoja na wake

ikifka around saa 9:30 tunasepa

hapo tushapikiwa tumekula maan dem kwao walkua na uwezo inshort wakishua full kuchinjiwa kuku mixer pilau ndo maan tukazoe yaan kwa week ukitoa siku za weeknd tulkua tunaacha kwenda siku moja tuu

Siku ya fumanizi kama kawaida tukafika mida ya saa 5 asubuhi tukakuta wake zetu wanafua tulipo fika wakaacha tukazama ndani

sa yule mshkj wangu akamchukua dem wake akaenda nae chumban mi nkabaki sitting room dem kalalia mapaja namchezea nywele mida ya saa 6 hv naona mtu anafungua geti nikapotezea nikajua watoto tuu wanachezea
mara gari inakuja weeee full kuhaha dem ikabidi atufiche choo cha nje faster
kumbee mzee alirud kukagua fundi alkua anatengeneza vioo vya nyumbaa
akaanza kufoka mnafua nguo mda wote huo
huku anasogea maeneo ya choo cha njee
mi uvumilivu ukanishndaa nikamwambia mshkji mi napanda juu ya dari ukikamatwa usinitaje
na hv niko mrefu nikakanyaga sink la choo nikasukuma kitundu cha sling board huyo nikajivuta juu
mshkj wang hapo namchungulia kafunga mikono anaomba mungu mara kwa mbali nikasikia "hiki choo mnakitumia wakat bdo hakijakamilka mbna mlango kama umefunguliwa?
Kitasa kikasukumwa rafik angu ikabid akae nyuma ya mlango maana mlango unafunguliwa kwa kwenda ndani
sema aliusukuma haukufika mwisho akachungulia jicho moja akabana akasepa akarud kazini
nikashuka mzee mzima hapo jamaa angu chapa chapa kalowa jasho
Ikabidi tukae tupumzike ile kupumzka stori zikanoga mara maza mtu huyu hapa kafka ye alkua hana gari
bahat nzur tulikaa njee..maza katupiga jicho hatar
maza kazama ndani dem katuambia akiulza semeni wageni wa kaka ake
maza kutka nje kaanza na sisi "na nyie?
si wageni wa wa bwana flan maza kajibu "sasa huyo mnaetafta si mmemkosa mnasubir nn tena"
Hapo hapo tukanyanyuka mbeleee

SIKURUDI TENA NA MAPENZ YAKAFA SIKU CHACHE BADAE SITOKAA NISAHAU SIKU HII
MAAN SIJUI INGEKUAJ
 
Hahahah ukikamatwa unaweza ingiziwa pilipili tundu zote au kutobolewa na spoke
 
Huu Uzi una mambo matam sana daaah
 
Wanawake wanaroho ngumu sana. Ilikuwa 20/5/2005, kuna dada mmoja aliningangania nimsindikize kwake jioni ya siku hiyo, tunaheshimiana sana. Nilimsindikiza mpk kwake akanipikia chai, ilikuwa kipindi cha baridi arusha. Story ikanoga hadi msosi ukanikuta hapo... Saa 4 usiku hivi akanishawishi nilale coz bwanake ameenda kahama kuchukua mchele hivo akaniambia anaogopa kulala peke yao yeye na mtoto tu. Nilikataa kwa mda baadae nilipoona inagonga saa 5 ilibidi nikubali... Akanipatia chumba cha kulala cha wageni. Tunaheshimiana na huyo dada maanake hata story za matusi hatuongelea... Wakati nimelala hivi kuna kitu akakileta pale chumbani, hapo nilianza kumtania nami pia naogopa kulala hapo mwenyewe, akacheka mi ckucheka ili nionekane niko serious na uoga. Alipoona nimemaanisha nibaki nae, akasema bas atarudi baadae km nusu saa hivi... Nikaona haji nikamfuata chumbani kwake, akanishangaa sana nimebadilika tabia na hakutegemea km niko hivo... Nikajitoa ufahamu nikalala karibu yake kumsumbua akaniachia mzigo, nilipiga moja, cha pili nikaomba nihame nae kule chumbani kwangu ili tuwe huru dhidi ya mtt wake. Tulipofika sasa aibu yote tuliweka mfukoni tulipiga show ya uhakika kila mtu akawa hoi usingizi ukatuchukua mpk saa ngp sijui. Nilishtuka mtu anagonga mlango, sauti ni ya mme wake msukuma, mwili ulikufa ganzi nilitamani ardhi ipasuke afu hapo niko uchi na sijui nguo niliweka upande... Yule dada akaniambia nitulie ondoa hofu, akanishika mkono huku amenikusanyia nguo na viatu vyangu kifuani nijikaze nisiheme ovyo akanisimamisha nyuma ya mlango afu akaninongoneza kitu. Afu akafungua mlango wakasalimiana na msukuma wake afu akamwomba amsindikize choo cha nje. Nilipoona wanavuta hatua mi nikatoka kwakunyata, nguo kifuani huku nikiwa uchi kabisa, nilifika geto, geto langu liko umbali km kilomita mbili hivi, nikiwa uchi hivo hivo nikiwa naona km sinema vile.
 
Usiombe ikukute hata kuwe na baridi joto linakua la Hatar ishawahi nikuta 2012 ila niliisove usiku ule ule kwa pesa nyingi na nikatoweka kitaa wiki nzima
Mkuu ungefafanua ili huu uwe ushuhuda na tujifunze pia kupitia wewe
 
Back
Top Bottom