Tuliounguza account za Forex trading

Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer FX Trader
 
JINSI YA KUDEPOSIT/KUWITHDRAW KWA BROKER YEYOTE KWA KUTUMIA MPESA.

Templer ( [URL='https://templerfx.com/']https://templerfx.com[/URL] ) wamejipatia umaarufu sana kwa sababu tu ya kuweza kudeposit na kuwithdraw kwa kutumia M Pesa.

ukweli ni kwamba, ukikaa na kufikiria, broker yeyote ambaye unaweza deposit kwa skrill, unaweza pia kudeposit kwa M Mpesa.

HOW..

Skrill ( [URL='https://templerfx.com/']https://skrill.com[/URL] ) ni online wallet ambayo unaweza ku upload pesa kupitia bank, au kuweka kupitia broker, na pia kutoa kwenda bank au kwa broker.

Templer, ana option ya Deposit/Withdraw kupitia Skrill Pia, tutaitumia njia hii kudeposit kwa broker mwingine kwa kutumia MPesa.

CHA KUFANYA:
1. Verify Card kwa Templer (Menu - MyTempler - Verifications - Credit Cards Verifications). kama huna akaunt fungua akaunt mpya hapa .
2. Open Skrill ( [URL='https://templerfx.com/']https://skrill.com[/URL] ) account.
3. Open the broker of choice's Account.

DEPOSITING TO BROKER OF CHOICE.
1. Deposit kwa Templer kwa Mpesa, kiasi unachotaka kudeposit kwa Broker unayemtumia. (ni nzuri ukiongeza kiasi kidogo kama buffer)
2. Withdraw kwa kutumia Skrill kutoka templer. hii itapeleka salio liwe kwa akaunt yako ya Skrill.
3. Deposit kwa Broker umtakaye ukitumia Skrill.

WITHDRAWING FROM BROKER VIA MPESA.
1. WITHDRAW from the broker to Skrill.
2. DEPOSIT to Templer Account using Skrill (the money withdrawn from the broker of choice)
3. Withdraw from Templer using MPesa.
4. Nenda kwa wakala

WORD OF CAUTION:
1. kama hauwezi kupeleka pesa skrill kwa mara ya kwanza, itabidi umuombe mtu akutumie udeposit Templer kabla ya kutoa. (broker wengine hufanya hivi kwa usalama)
2. ni nzuri ukajua deposit na withdraw value ya Dollar kwa mpesa kwa Templer (ziko tofauti kidogo)

ALL THE BEST!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu lipi suluhisho LA kuepukana na hao market makers yani kuepuka hizo tricks zao za kutanua spread, fakeouts na zingine
 
Mkuu lipi suluhisho LA kuepukana na hao market makers yani kuepuka hizo tricks zao za kutanua spread, fakeouts na zingine
Suluhisho ni kuacha kutrade.
Lakini je, tutaweza?
Tukomae tu,
Hakuna namna...
 
We jamaa imetosha Sasa, maana kila uzi unatuma huu ujumbe wa kitapeli.

Hiyo nambari ya mwaliko: gdlm ni ya nnni kama sio utapeli?
Affiliate ID. Sio "namba ya utapeli", kiuhalisia, inaonyesha u mgeni sana na online business na affiliate commission income...
Ushauri wangu: ULIZA WENYEJI.


Sent from my Moto G (4) using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…