Tuliotoka na cleansheet University tufahamiane

Tuliotoka na cleansheet University tufahamiane

Duh labda ,ila ningekua kidume nisingejali hizo nyodo ningekua nashusha mistari mpk wananikubali, afu hao wenye nyodo ndyo rahisi kuwapata, wanatumia nyodo kama defence mechanism ila kiuhalisia ni rahisi ,so usiogopee jombii[emoji3]
hahahaha ...Real ..??
Kumbe ndo defence Mechanism hiyo.
 
Sasa sinauwezo ningekuwa nauwezo wakukubadilisha ningefanya hivyo ili uthibitishe, basi kwa sababu sinauwezo wakukupa nafasi yakuthibitisha acha nikubali kuwa unaweza
Hahaaa, ila sometimes I can feel you mnavohustle mpk kufanikiwa kumpata Mdada, maana kuna wadada wana majibu hao uwiii, ila ndyo uanaume huo komaeni tu
 
Hapa umenena mkuu yaani stress cha chuo boom siyo kitu
Nilikuwa na lengo na shauku ya kwenda kula Bata chuoni, cha ajabu Bata ziliota mbawa, Boom sikuona chochote wala si lolote ingawa lilikuwa la kutosha, stress za masomo zikanipiga mweleka
 
Sometime hzoo mamb znatupataga sjuh n wap tunakoseaa kabsaa
Labda waje wenyewe watuambie madent
 
Hii inawahusu mliosoma vyuo vikuu tu au hata sisi tuliosoma vyuo vya madrasa ?
 
Back
Top Bottom