kingunge wa jf
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 466
- 467
Nawasubir[emoji216]Daah haya bn mkuu ngoja tuwasubili
Nakuona Monitless wa Song Girls! Nyie toka zamani najua hamtupendi... mnajua tulichowafanya.Kama umepakumbuka si uende shuleni hapo uwapelekee hata Box la chaki, kuliko kukaa kutupigia kelele huku...🙂🙂🙂
Nakuona Monitless wa Song Girls! Nyie toka zamani najua hamtupendi... mnajua tulichowafanya.
Don't tell me, Musoma tech..! Chuo cha jeshi, si kwa life lile aisei, mzee matogoro, sabato miss u big..! aisei.MIKOMANGWA miss you my displine masters..![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] huyo ziwana kwa mama wawili binti yangu mloko atakuwa kavunja ungo sasa maana muda sana.Ulikuwa enzi za Preamble or Msagasa? Preamble (Mwl Mwita), Headmaster na Mkurya wakwanza mm kumuona hana matatizo na mtu na mshika dini
Kijana wangu,ulimkuta mwalimu Kaganda pale?Naona umeumiss ugali kwa chengu.Nakuona Monitless wa Song Girls! Nyie toka zamani najua hamtupendi... mnajua tulichowafanya.
Hahahahahaaa!Aisee,ujeko ukomboe mtoto wako,mura!Don't tell me, Musoma tech..! Chuo cha jeshi, si kwa life lile aisei, mzee matogoro, sabato miss u big..! aisei.MIKOMANGWA miss you my displine masters..![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] huyo ziwana kwa mama wawili binti yangu mloko atakuwa kavunja ungo sasa maana muda sana.
Hahaaa mkuu hilo jina km nalijua vile mwaka gani vile?Mitaa yetu ya kujidai BARUTI.
Hapana mkuu sijui tusi lolote mie... Hapa duniani nina siku mbili tuKwahiyo umeamua kunitukana mkuu..
Nilikuwa enzi za preamble mkuu. Yule alikuwa malaika. Mungu ampe umri mrefu popote alipo.Ulikuwa enzi za Preamble or Msagasa? Preamble (Mwl Mwita), Headmaster na Mkurya wakwanza mm kumuona hana matatizo na mtu na mshika dini
Hahahaa we jamaa km nakuona vileHahahahaha kuanzia Baruti, Majengo,kariakoo hadi songe kwa Miguu kufua ziwani kuoga ziwani daily kufukuzia free pass za The club house
Daah umenikumbusha Mikomangwa. Daaaahh!Don't tell me, Musoma tech..! Chuo cha jeshi, si kwa life lile aisei, mzee matogoro, sabato miss u big..! aisei.MIKOMANGWA miss you my displine masters..![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] huyo ziwana kwa mama wawili binti yangu mloko atakuwa kavunja ungo sasa maana muda sana.
Mwal kaganda simkumbuki lkn nilimaliza 2008. Si unajua pale mwanafunzi na mwl hawana interaction... pale kina Mnyeti ndo walikuwa watabe.Kijana wangu,ulimkuta mwalimu Kaganda pale?Naona umeumiss ugali kwa chengu.
Ooh, vena! Basi mimi nilimkuta miaka kumi nyuma (1998)wakati Laurent Kabila anamtoa Mobutu Seseseko Kukungweno Zabanga WA Zabanga huku tunacheza Loi pale kwa Mama Esther! The Old good days!Mwal kaganda simkumbuki lkn nilimaliza 2008. Si unajua pale mwanafunzi na mwl hawana interaction... pale kina Mnyeti ndo walikuwa watabe.
Daaah we wa kitambo! Kipindi hiko Selena ilikuwepo?Ooh, vena! Basi mimi nilimkuta miaka kumi nyuma (1998)wakati Laurent Kabila anamtoa Mobutu Seseseko Kukungweno Zabanga WA Zabanga huku tunacheza Loi pale kwa Mama Esther! The Old good days!