MinMash
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 373
- 160
Hehe Maghembe katukuta pale tukamfundisha fundisha mazingira... Mtangulizi wake alikua Mwingira alihamishwa baada ya kushindwa kui-control shule kwa migomo... Naukumbuka sana mgomo wa 2004 Ilikua hatari
Mie nimepita pale advance 2004-2006..... Coy D platun I ....