Tuliosoma Kigoma Sekondari Tukutane hapa..

Wapi mamii mtaalam wa kupika ubwabwa na kitu cha layer ya mawese r.i.p Mzee Ngusa . mademu wa kamara wachafu ila watam balaa haha
Dah.. Bonge la mpish bado yupo afu nilikua foódleader pale
 
Hapo sawa ila rudi nyuma kdg. Headmaster akiwa Mazigo na second master akiwa Chaka
Aisee nyie wahanga kweli bas mim mtoto wenu maana Mkuu wa sasa ni Charles Maghembe... Shikamoo
 
Hehe Maghembe katukuta pale tukamfundisha fundisha mazingira... Mtangulizi wake alikua Mwingira alihamishwa baada ya kushindwa kui-control shule kwa migomo... Naukumbuka sana mgomo wa 2004 Ilikua hatari!!!
 
Dah.. Kweli mkuu ila ni shule nzuri najivunia kusoma pale..
 
Niko nakimbizwa na Kulandeya kanikuta natoka kamala, imebidi nipitilize fork ... Gogwa sijui atanitafuta kesho daah!!
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 dah kulandeya ...mwili mdogo lkn ana biti balaa
 
Hehe Maghembe katukuta pale tukamfundisha fundisha mazingira... Mtangulizi wake alikua Mwingira alihamishwa baada ya kushindwa kui-control shule kwa migomo... Naukumbuka sana mgomo wa 2004 Ilikua hatari!!!
huyu jamaa nilifuata cheti changu cha form 4 nlichaguliwa chuo 2010...akanambia hawez kunipa cheti...nikamplease lkn akakataa kunipa ..kila nikienda kgm sec naishia kufukuzwa tu.....kuna mwalimu alikuwa anaitwa bilantanye alikataa kusign clearance kabisa...ikabaki sign yake tu ...sidaiwi lkn akakataa kusign.....nikaona isiwe tabu nikatuma clearance na malalamiko yangu necta kwa fax...kwamba wamekataa kunipa cheti napata mashaka wameuza cheti changu.....aisee nlishangaa baada ya wiki kanipigia simu anaongea kistaarabu nikachukue cheti changu
 
Aisee Jamaa wazinguaji sana hawa wakati mwingine...

Nadhani walipigwa mkwara na Nectar, Msalimie Jilala Mzee wa wa Kupasua

[emoji125] [emoji125]
 
huyu jamaa nilifuata cheti changu cha form 4 nlichaguliwa chuo 2010...akanambia hawez kunipa cheti...nikamplease lkn akakataa kunipa ..kila nikienda kgm sec naishia kufukuzwa tu.....kuna mwalimu alikuwa anaitwa bilantanye alikataa kusign clearance kabisa...ikabaki sign yake tu ...sidaiwi lkn akakataa kusign.....nikaona isiwe tabu nikatuma clearance na malalamiko yangu necta kwa fax...kwamba wamekataa kunipa cheti napata mashaka wameuza cheti changu.....aisee nlishangaa baada ya wiki kanipigia simu anaongea kistaarabu nikachukue cheti changu
Bilantanya bado yupo sema siku hizi hana shida walishaacha kuzingua sana... Ndio mwl wa physics form 5
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 dah kulandeya ...mwili mdogo lkn ana biti balaa
Kuna mwngn alisumbua sana miaka ya 2012 mpk 15 kama sikosei Gibson... Au anko G alikua na mikwara sana
 
Akina Zito Zuberi Kabwe na January Makamba nadhani walipita pita hapo
 
Back
Top Bottom