Tuliosoma Kigoma Sekondari Tukutane hapa..

Tuliosoma Kigoma Sekondari Tukutane hapa..

DMCT

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
2,276
Reaction score
5,942
Wakuu, habar za majukumu, nawakaribisha wana jf wenzangu wote tulipita pale Kigoma sekondari tukumbushane mazuri na karaha za pale shule... Kwa ufupi kigoma sec utakutana na misemo maarufu kama kupuliza, kizigo, kadebra,manual work, pamoja na carribian... Nawasilisha hapa jitupori atakua mstari wa mbele... Mpaka natoka pale kulikua na vikundi vya kupatia cha kula huku mkijadili masuala mbalimbali kama michezo,siasa,elimu na mambo mengine... Maarufu ni Supersport,Hot Spears,Mwarobaini,na Mapenzi na Ndoa...
 
Niko nakimbizwa na Kulandeya kanikuta natoka kamala, imebidi nipitilize fork ... Gogwa sijui atanitafuta kesho daah!!
 
Niko nakimbizwa na Kulandeya kanikuta natoka kamala, imebidi nipitilize fork ... Gogwa sijui atanitafuta kesho daah!!
Hahahaha Mkuu kamara ni hatari kwa afya ila wanafunzi wabishi ndo ilikua mitaa yet ya kujidai... Kwa mchaga..
 
Kuna misemo mingine ya hapo Kigoma Sekondari lkn ni ya wahenga. Kama vile
1. Faya
2. Saxaphone
3.Nyamagana
5.Kufua
6. WanaIngwe
7. Form Ten nk
 
Kuna misemo mingine ya hapo Kigoma Sekondari lkn ni ya wahenga. Kama vile
1. Faya
2. Saxaphone
3.Nyamagana
5.Kufua
6. WanaIngwe
7. Form Ten nk
Hahaha kweli kabisa mkuu ni ya kihenga... Wew ulitoka pale mwaka gani mimi form 6 2017
 
Namkumbuka sana Busianya alivyokuwa akifuatilia mademu wa A'level.
Yupo wapi huyu mzee?
Mkuu hayupo siku hizi na pale na boys tu A LEVEL pekee
 
Busyanya alistafu mda,kulandea pale alihama miaka ya 2005
 
Wapi mamii mtaalam wa kupika ubwabwa na kitu cha layer ya mawese r.i.p Mzee Ngusa . mademu wa kamara wachafu ila watam balaa haha
 
Ningechangia ila naona post nyingi ni za miaka ya karibuni saana maana mimi ilikuwa 1991-1994
 
Wakuu, habar za majukumu, nawakaribisha wana jf wenzangu wote tulipita pale Kigoma sekondari tukumbushane mazuri na karaha za pale shule... Kwa ufupi kigoma sec utakutana na misemo maarufu kama kupuliza, kizigo, kadebra,manual work, pamoja na carribian... Nawasilisha hapa jitupori atakua mstari wa mbele...
Shule aliyosoma jiran yangu,ni kweli zawani ilikuwa ikiiitwa livingstone sec? Msaada wakuu
 
Back
Top Bottom