Tuliosoma Community Health tukutane hapa

Tuliosoma Community Health tukutane hapa

tajiriboya

Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
15
Reaction score
38
Wale wote tuliosomaga kozi ya Community Health iliyoanzishwa mwaka 2015 tukutane tupeane taarifa mbalimbali kuhusiana na hii kozi mana tangu ianzishwe had sasa hivi ni kimya.

Kuna sintofahamu sana inayoendelea kuhusu hii kozi.
 
Hii course kwani haina ajira? Mpaka useme kuna sintofahamu?
 
tajiriboya,
Hakuna ajira na serikali ilishaifuta hii kozi kwa mwaka 19/20, mkasomee short course drugs dispensing angalau hata muuze maduka ya dawa.
 
Community health ni kozi iliyoanzishwa makusudi na watu ili kupiga pesa za wajinga kirahisi.
Kozi haina ajira, huwezi kujiajiri, unasoma ya kazi gani?
 
Back
Top Bottom