Habari,
Kama kicha cha thread kinavyojieleza nahitaji wote tuliopitia TARIME SEC tukumbushane maisha ya pale, either ulipitia O level au hata A level.
Karibuni.
2012-2014!! Naweza kuwa nakufahamu kwa sura kaka
Ni Matiko Mkuu, Mzee alizingua Sana hasa Graduation yetu 2014 sitasahau Ila nasikia aliomba kuhama akaletwa mwingine Toka Mara Sec na wameongeza Combination Kama HGE na EGM Kama sijakoseakuna jamaa aliitwa heneriko zunyagaishile,pascal magambo,na wengineo walisumbua sana 2012 pale,head master alikua matiku,
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna jamaa aliitwa heneriko zunyagaishile,pascal magambo,na wengineo walisumbua sana 2012 pale,head master alikua matiku,
Sent using Jamii Forums mobile app