Tuliopitia maisha magumu tukutane hapa!!

Tuliopitia maisha magumu tukutane hapa!!

Us baby... us baby...

20160623_200044.jpg
 
Wapi mkuu Senior Boss na life la ughaibuni? Mkuu nakusubiri hapa, ile experience yako na yule jamaa akiyekuzingua akidhani huna kitu niliipenda sana, unaweza kuileta tena hapa vijana wapate busara za waliofanikiwa.
 
Umeshare experience nzuri sana kwani itasaidia sana watu ambaowanakaribia kata tamaa. Kuanzamaisha darasala nne na kufanikiwa kufika ChuoKikuu! Hongerah sana. Ila wazazi japo hawakuacha miradilakini kuacha nyumba tu ni Baraka sana kwani inaonekana walifariki wakiwa siwazee. Hongerah sana kwa juhudi zako. Wengine watajifunzakuwa maisha magumi actually hujenga!
Asante mkuu.. Ninachoshukuru ni kwamba sikutetereka na kuingia kwenye tabia hatarishi!!
 
Heri yako mkuu hujui maisha magumu ni yapi?
DAh kweli maisha ni ya ajabu wakati wengne wanakufa njaa wengne wanakula na kusaza na kuwapa mbwa na paka maziwa fresh wakati mtt wa masikini hawezi hata kupata uji usio na vikolombwezo kwa siku..all in all tumshukuru Mungu kwa kila jambi
 
Asante mkuu.. Ninachoshukuru ni kwamba sikutetereka na kuingia kwenye tabia hatarishi!!
Kabisa kabisa. Kwani na rahisi sana esp. mtoto akiwa desperate kuingia katika tabia hatarishi kwa kushawishiwa nk.
 
kwa kweli na mimi nimekuwa yatima tokea mtoto sana na wazazi hawakuacha hata mia,ila namshukuru mungu ndugu zangu hasa wa upande wa mama hawakunitupa kabisaa,walinilea kama mtoto wao wa kumzaa wakinipa mahitaji yote muhimu ingawa walikuwa na uwezo wa kawaida sana,walinisomesha kuanzia primary hadi chuo kikuu kwa kuchangishana,kwa kweli mwenyezi mungu azidi kuwabariki kwani moyo wao si wa kawaida,hata mimi wamenijengea spirit ya kupenda kuchanga
 
Back
Top Bottom