Tuliopata barclays bank lead generator

Tuliopata barclays bank lead generator

Kwa Barclays LG kazi yake kubwa ni kutafuta wateja wa persönal/consumer loans na wateja wa kufungua a/c so its more or less like direct marketing for the bank's products na hauwi permanent employee rather an agent of the bank and u get paid commission kadri ulivyouza products. Tafuta viatu vyenye soli ngumu coz utatembea mno na omba Mungu usiishie kupa 50,000 kwa mwezi kama wengi wa hao LG wanavyopata. Kila la heri

Ni ngumu balaaa ila wapo wanaofanya vizur wans miaka zaid ya 5 pale ma sikuiz wanapewa elfu 70 kama haujafanya kazi kabisa na ukiendelea kutofanya kaz unafukuzwa.
 
Nakutakia mafanikio mema katika kutafuta kwako kazi.
 
We ndo ushalambwa hvo mwenzenu ndo namalzia training kesho na mkataba juuuu,wouuuuu mwaka nauanza vizur wakubwa
 
Training kwa kazi gani na bank gani kama ni bank tajwa hapo juu na hiyo post acha kudanganya wenzio labda kwa mikoani sio dar.
 
Wakuu umofia kwenu,
Hizi Title zinachanganya sana nilivyoona LG nikawa sijui ni kazi gani lakini nilivyopitia posts nimegundua kumbe barclays wamebadiri title mwanzo walikuwa wanaiita "DST"-Direct Sales Team ambayo ilikuwa project ya William Solez ikisimamiwa na Mzee Nyaki,Elli Sijaona,Simon Ngowi,Dada Mariam na Wengine wengi,kwa kipindi kile jamaa yangu alikuwa analipwa 252,000/= kwa mwezi kwa mda wa miezi mi3 na miezi mi3 mingine ni 140,000/= ukimaliza hyo mi3 kinachofuata ni 50,000/=ya nauli tu,cha msingi ni kujituma kujua machaka mengi ili uweze kupata accounts/Loans nyingi ambapo at the end unapata commission kwa mauzo yako,yap kuna watu wamefanikiwa lakini ni kazi ambayo inahitaji mpiganaji ni kweli tayarisha viatu vya soli kubwa,mashati ya mikono mirefu,tai,vitambaa vya jasho vya taulo na pafyumu!! Kama unajuana na watu wa HQ unaweza ukafanya fitina ukapelkwa branch kuwa teller ila inabidi ufanye fitina ya kufa mtu,hizo kazi ni temporary uwepo wako ni juhudi zako wengi wanaishia miezi mi4 mpaka 6!!!
 
ha ha ha mkuu umenikumbusha Nyaki,Tirus Mwithiga,Bade,Mwalukasa,sabiha ha ha ha kweli wewe ni mtu wa ndani kabisa
 
Back
Top Bottom