Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Mkuu, huyo Dada anajitisha mwenyewe. Anajificha kwenye vi-ID bandia halafu anajifanya ananijua. Kama anataka tuzungumze kwa uwazi ajitokeze kwa jina na sura yake kama mimi halafu nimsikie. Anadhani kila mmoja anatishika.Usitishe watu wewe kwanza usha vunja sheria za JF mpaka sasa mshenzi wewe...........kumjua mtu sio kumnyanyasa.....kwani we nani. Nifuate na mimi. Wakurugenzi wa JF wana kesi sababu ya kuficha Id za watu wewe unaropoka hapa. shit.
Sikujua kama ni mdada basi tumsamehe........ujauzito huwa unasumbua siku za kwanzaMkuu, huyo Dada anajitisha mwenyewe. Anajificha kwenye vi-ID bandia halafu anajifanya ananijua. Kama anataka tuzungumze kwa uwazi ajitokeze kwa jina na sura yake kama mimi halafu nimsikie. Anadhani kila mmoja anatishika.
Itakuwa ulizaliwa kwa bahati mbaya wewe Kama wazazi walipanga hawezi kuwa na mawazo ya kikoloni kama siyo basi unalaana ya kutowaheshimu wazazi wako, Matokeo yake ndio hayo mawazo ya Toilet paperMkuu huwa nakuona sana Unajihusisha na Siasa na Ni mfanyakazi wa UDSM. Chagua Moja you will end up in disasters!

sentensi ipi mkuumkuu kwa hiyo sentensi yako ya mwisho, watakutafuta tena bora ukae kimya
kumejaa mashushu humu
Anzeni kumuomba msamaha Lowasa,Nape,kikweteMpigieni Magoti Dr Slaa
acha kuwatisha watu bwege wewe, kila mtu ana haki ya kufanya chochote ilimradi asivunje sheria za nchi....tatizo lenu mmeigeuza hiyo taasisi kua tawi la ccm, badala ya kulinda maslahi ya nchi mnalinda maslahi ya wana ccm.......sijui hata walitumia vigezo gani kuwaajiri.....manatia huruma watazameni wenzenu Mossad, CIA na MI 6, woote ni bright na wanajua nini wanafanyaMkuu huwa nakuona sana Unajihusisha na Siasa na Ni mfanyakazi wa UDSM. Chagua Moja you will end up in disasters!
Kwani wewe ndiye muajiri wake???Mkuu huwa nakuona sana Unajihusisha na Siasa na Ni mfanyakazi wa UDSM. Chagua Moja you will end up in disasters!
Mi Nakufahamu Vizuri Acha Acha Kazi Uingie kwenye Siasa. Siyo Kuponda ponda wakati wote Nimeshawasiliana na Wakuu wako wa Idara.Maneno hayo kamwambie mzazi au mtoto wako. Halafu punguza kujifanya unanifahamu. Sitaki mazoea.Bure kabisa!
Dada, unataka nini kwani? Unadhani mwenye cheti feki kama wewe unaweza hata kudiriki kupiga simu kwenye jumuiya ya wasomi kama hii? Endelea kujifurahisha nyuma ya ki-ID chako feki kama kilivyo cheti chako. Ulizia kuhusu mimi kabla hujaropoka Dada.Mi Nakufahamu Vizuri Acha Acha Kazi Uingie kwenye Siasa. Siyo Kuponda ponda wakati wote Nimeshawasiliana na Wakuu wako wa Idara.
Hilo nalo neno mkuuMkuu kwani kisasi lazima kumuumiza mtu, hata kutowapigia kura ccm wewe na familia yako na Ndugu na marafiki zako ni kisasi tosha
Hata kware ana akili kuliko ya huyo. Labda akili za zuzuAkili za kware hizi.
Hiyo fidia watamdai nani,,,,,Hivi hawezi kufungua kesi ya kudai fidia hapa?