lakini yawezekana ukashauriwa kulingana na ulivyopeleka tatizo na uzito wa tatizo ulivyowakilisha[/QUOTE
Asante mkuu
Ila katika masuala yote ya kiushauri jiulize mwenyewe kwanza unataka nini na nini matarajio yako kabla ya kuomba ushauri kwa mtu
Upime kwa ufasaha ushauri utakaopewa na uwe na majibu yako na wazo lako mwewe kama wewe na then ufikiri na kuchambua kila utakaloambiwa
ni kweli ila wengine huwa wanaamini wanaomba ushauri ila wanakuwa tayari wanalazimisha kile ambacho wao wanaamini na unakoomba ushari ni lazima akushauri kulingana na utakavyo wewe
The Lord will make you the HEAD,not the tailsasa badala yake unanishauri niende kwa kansela yupi? maana naelekea kumwamini!
Njoo kwa Mr...... utapata ushauri wa kila namna na namna ya kuiboresha ndoa yako
The Lord will make you the HEAD,not the tail
Alaaaaaaaaa...kumbee sasa Mama Tuli naye anahitaji kuniona kwa ajili ya kupata ushauri maana naona umeishaanza kumendea hadi wateja wanguNjoo kwa Mr...... utapata ushauri wa kila namna na namna ya kuiboresha ndoa yako
una maneno ya busara sana mamito....Pole na endelea kuvumilia manake ndio njia uliyochagua! Mtangulize sana
Mungu atakusimamia, utavuka milima na mabonde na hatimaye utafika kwenye tambarare..
Ahsante sana Rejao...una maneno ya busara sana mamito....
Swahiba usiwe na wasi, madam mie niko hapa hatamendea mteja hata mmoja, toka lini Mr.Rocky akawa mshauri?Alaaaaaaaaa...kumbee sasa Mama Tuli naye anahitaji kuniona kwa ajili ya kupata ushauri maana naona umeishaanza kumendea hadi wateja wangu
Haya swahiba hebu muulize Rejao anataka ushauri au nae ana biashara zingine:lol:Swahiba usiwe na wasi, madam mie niko hapa hatamendea mteja hata mmoja, toka lini Mr.Rocky akawa mshauri?
Hahaha! Rejao atakuwa anataka ushauri asee manake nimeona wanapitiana na smile, sijui wanataka kupelekana wapi..Haya swahiba hebu muulize Rejao anataka ushauri au nae ana biashara zingine:lol:
Una maushauri ya ukweli. Karibu kwenye NGO yetu na TF utatufaa sana wewe.Kweli mkuu. Maisha ya ndoa ni kuvumiliana sana. Vumilia huku unarekebisha makosa madogo madogo yanayotokea kabla hayajaleta mlipuko. Jijengee mazoea ya kuongea na mwenzi wako kila weekend au mwisho wa mwezi muelezane pale penye mapungufu ili mrekebishe na palipoenda sawa mpongezane. Ni hayo tu kwa sasa.
mi usahuri tu,,,,halafu najipitia zangu, TF vp, mbona umeshtuka sana?Haya swahiba hebu muulize Rejao anataka ushauri au nae ana biashara zingine:lol:
Mi nina mvua saba :bolt::bolt::bolt: TaaaarrtibuTuulizeni sie tulio kwenye ndoa mwaka wa kumi (10) tumeona mengi :lol::lol::eyebrows:
hahahaahaha...:lol: SL mbona unamwaga siri za kule???Hahaha! Rejao atakuwa anataka ushauri asee manake nimeona wanapitiana na smile, sijui wanataka kupelekana wapi..
Una maushauri ya ukweli. Karibu kwenye NGO yetu na TF utatufaa sana wewe.
Usijali umepata kazi, hatuhitaji cha cv wala nini, ilmradi tu uwe unajua kupika chai...waooh! Ahsante sana. Mimi ni mtoa ushauri nasaha kasoro kupima ukimwi. Nitafurahi kufanya kazi na NGO yenu.
Mie yangu macho tu Rejao, ila yakikufika usisite kuniona kwa ushauri, lol...hahahaahaha...:lol: SL mbona unamwaga siri za kule???
sawa mama ushauri...mi napenda vya bure lakini! ujiandae kutoa ushauri wa bure kama unaoutoa hapa jamvini!!!Mie yangu macho tu Rejao, ila yakikufika usisite kuniona kwa ushauri, lol...