Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
Ukiona una mchepuko na mnaelewana ingawa anajua umeoa au umeolewa na yupo radhi kuendana na wewe according to hisia zenu ujue mchepuke ndo alikufaa si uliye naye.
Michepuko huwa mnapokutana kila mtu anafurahi kuwa na mwenzake na kurudi nyumbani unaona ni bughda,ila unapokuwa pamoja na mchepuko unasahau shida zote,wapo michepuko yaani hata mcheze game bila msosi vinywaji au kupigwa mizinga wanafurahia uwepo ule wa kuwa pamoja.
Unakuta mchepuko ndo anakuonea huruma familia yako inavyokutesa,anaogopa kufumaniwa ili kuvuruga familia yako na mna make sure hamkamatwi.
Mchepuko uliyemweleza ukweli unamsave jina la kiume au la kike,ukiwa na mpenzi wako unachat na mchepuko mnaongea kwa codes kama "niaje mshikaji wangu,aisee Leo hatuendi bata nipo na baby,...naye anaelewa."
Mchepuko ndo anakupa furaha kuliko mwenza wako.
Michepuko ndo chaguo ila basi tu tunaangukia pabaya