Tuliomaliza chuo tunalia na ajira mtaani

MWL MTZ

Member
Aug 12, 2011
39
2
<font size="3"><strong>tumemaliza chuo na sasa tupo mtaani lakini tunalia na ajira kila kukicha utatuona na baasha mkononi lakini wapi! mliopo chuoni na mnotalajia kujiunga na vyuo angaline course za kusoma.</strong></font>
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
lakini unalalmika nini mana ID yako inajieleza....................kazi zenu zipo nje nje
 

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,466
1,164
Ebana isije ukawa mmojawapo ya waliomchangia JK hela ya kuchukua fomu mwaka jana.
 

KAMALELA

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
226
113
Aliyekwambia kumaliza chuo lazima uajiriwe ni nani? kuna kujiajiri pia! Tatizo tulionalo vijana wakitanzania ni kufikiri kuwa ulichosomea ndo hicho tu unatakiwa ukifanyie kazi, nenda hata kwenye mahotel fanyakazi ya kuosha vyombo, kupiga deki na shughuri nyigine nyingi tu wakati unasubirli hiyo kazi nyingine, usisahau hakuna serkali makini hapa ya kutengeza ajira kwa vijana zaidi ya kujiangalia wenyewe.... pole sana mdogo wangu jichanganye na shughu yoyote itakayokuja mbeya yako.
 

nyambari

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
355
171
Kwani chuo si mnafundishwa ujasiriamali sasa kwanini uhangaike na ajra za watu?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom