Tuliokosa mkopo tushauriane cha kufanya

Mkuu mimi mwenyewe uhakika ninao, mtu wa board kabisa ndio ameniambia kwamba continuous kupata ni a gamble , anyways kama mpaka sasa hivi haujapata bado kwenye allocation status inaandika ukate rufaa, hiyo ni kwa wote waliokosa , sasa je kwahiyo hayo majina yakitoka unataka kuniambia hiyo status itapotea?
Mkuu continous wametoa majina pia. Kuna kipnd CCM walitangaza kusaidia waliokosa mikopo. Hivyo wakashauri waombe kuptia ofis zao kwenda heslb. Watu wakaomba na wamepata17 kati ya20 toka chuo cha kodi
 
Ukishakosa first year huwezi pata tena ukiomba ni ndoto nina rafiki yangu alikosa ,akaomba tena akaeka hadi vyeti vya vifo vya wazazi akanyimwa, na mm pia ni mhanga ndio maana nakuambia ,iyo pesa ya kuapply bora uile tu heslb washenzi
Sio kweli..kuna jamaangu mwakajana alikosa akarudi home mwaka huu kaomba kapata 100%
 
inashangaza sana.kigezo cha kwanza kupewa mkopo ni masomo ya sayansi na hisabati. lakini kuna chuo kimoja kozi moja ya sayansi wako sita. waliopata mikopo hawazidi watatu.ilihali wale arts karibu wote wamepewa mkopo. bodi ya mikopo ni majanga....
 
Back
Top Bottom