Tulioharakia kuoa tukutane hapa

Hakika, changamoto kubwa iliyopo kwa mkwe akihitaj msaada fulani nikishndwa kutekelza kwa wakati anasema maneno mabovu
 
Umemuelewa?

Kuwahi kuoa ni sawa na kuondoka disco saa 3 ambapo ndio linakuwa limeanza kuchanganya.

Unaoa una miaka 22-26 hapa ndio kwanza umri wa kuruka ruka na mbususu tofauti.
Ndio nmemuelewa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila tangu nioe nkitongoza mwanamke nakataliwa
 
Na wewe unatongoza ili iweje bwana...ndio mwanzo wa kuleta minuksi ndani wakati ndoa yenu bado ni pure na Mungu anaibariki kama wewe mwenyewe ulivyokiri hapa.
Mke wangu ananyonyesha, mtoto wetu ni mdogo sana....
 
sku hizi hadi kwenye comments mnatuimbisha 🤣🤣🤣🤣
Kweli mambo yamebadilika
Hatuchagui uwanja. Halafu sijawahi ingia PM kutongoza, huwa naingia kujibu mtu au kutoa msaada kama kauliza sensitive issue naijua
 
Duhh!! Mbona utataabika sana mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…