Kwa speed hii ya Magufuli kudhibiti rushwa na ufisadi wale wenzangu tulioficha hela chafu tuwe chonjo.ole wenu maana Magufuli anakwenda kuwanyosha kwa namna yoyote ilmradi akizibana hizo hela ziingie kwenye miradi ya maendeleo kusaidia wenye nchi.magufuli ukimaliza reli ya dar to mwanza.jenga na ya kisasa ya kwenda mikoa ya kaskazini.njoo kwenye viwanja Jenga viwanja vya ndege hata kila wilaya sisi mwananchi tupo tayari uyabane mafisadi yasiofika hata elfu tatu kwa ajili ya sisi wananchi million 50