Tuliofanya interview OUT

Tuliofanya interview OUT

Campus

Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
34
Reaction score
10
Wasalaam nyote,
Hivi,katika sie tulofanya interview pale kwa academic posts na zile nyingine kuna yeyote ameshaitwa?
Nataka kujua kama ndo nshakoza kazi au niendelee kuhope.

Na km bado kuna mwenye idea wanaeza kuita lin walofanikiwa?
 
subiri nature ichukue nafasi yake, watakujulisha tu wenyewe kama umepata au umekosa
 
Wasalaam nyote,
Hivi,katika sie tulofanya interview pale kwa academic posts na zile nyingine kuna yeyote ameshaitwa?
Nataka kujua kama ndo nshakoza kazi au niendelee kuhope.

Na km bado kuna mwenye idea wanaeza kuita lin walofanikiwa?

Naomba kuuliza Hiyo interview ni ile ya Open University waliyokuwa wanatafuta watumishi ktk kada mbalimbali ambayo walitangaza kama miez miwili iliyopita.?
 
Back
Top Bottom