Tulio safarini leo, tusalimiane hapa 😇!

Tulio safarini leo, tusalimiane hapa 😇!

umenikumbusha miezi miwili imepita nipo mpakani mwa iringa na moro darajan ruaha panamadalali wa vitungu akaja dada moja hivi mlanguaji vitunguu

nikaona huyo kachukua simu pochiyake nikapiga jicho nikaona anafungua JF app nilicheka sana na humu namfahamu sijawahi kumsanua nikajiuliza niombe namba yake
Wewe ulijuaje kama huyo mnayefahamiana JF ndiyo huyo dada. ID yake uliijuaje?
nafsi ikasema fanya kilichokuleta mpakani hapa gari zilikuwa zinakaguliwa balaa
Bora lakini uliamua kufuata yaliyokuleta huko mipakani.
 
My lovely sister 💕 Binti wa zamani
Miss you mum 🥰
Miss you too kipenzi 🤗
Wallah huyo jirani atakua kivuruge Lamomy

Mie nipo zangu namtumikia tajiri
Lakini ingekua mimi na nikajua ni wewe lazima ninge ku hug 🫂 babes
Me too, tungehama hata siti tupige stori vizuri ❣️
I think unajua mimi na wee tulivyo
Nakupenda mnoooooo😘
Nakupenda pia babes 🫶🏽
Ila sasa unaenda wapiiiiiiiiiiiiiiiiii ?
Nilikua namfuata ba mjengo Dodoma, haya mambo ya hukumu sikujua yataendaje, so nikataka kuwa karibu na mlinzi wangu tuliwazane tu weekend hii.
#Free Tundu Antipas Lissu ❤️
#FreeTAL ✌🏽
 
ulifanya uzembe kuto chukua namba

ukosahihi ila nikitaka nampata mana niyeye kabisa

nilichojifunza kuna umuhimu asemavyo mexmelo kwamba ku-anisto app ni muhimu popote uwapo ikiwa ni nje ya nyumbani au ukitaka kupitia maswala kaa mbali na watu nilicheka sana akawa anajishitukia sasa jicholangu likawa nimenasa muonekano wa JF app wasasa
 
Wewe ulijuaje kama huyo mnayefahamiana JF ndiyo huyo dada. ID yake uliijuaje?

Bora lakini uliamua kufuata yaliyokuleta huko mipakani.

Sivizuri nitaje ID yake hapa ushauri acheni kuweka picha sahihi na mnaweka mabandiko humu wengine tunabahati yakukalili kwelikweli
 
Hivi safari ni lazima utoke nje ya Mkoa ulipo?

Kama ni hivyo basi wengine hatujawahì kusafiri kabisaa yaani.
 
Back
Top Bottom