Tulio safarini leo, tusalimiane hapa 😇!

Tulio safarini leo, tusalimiane hapa 😇!

Mimi nilikua naperuzi jf nikiwa kwenye panton, ikatokea nikageuka nyuma nikamuona mzee mmoja shingo ipo juujuu kuchungulia nahisi alikua na hamu nijiroge nifungue profile yangu ili ajue mimi ni nani.

Nikaishia kumpa tabasamu😊
Wanajuaga kuchungulia hao, mimi nina private screen na hapa natumia simu mwanga wala hakuna 😅🤣
 
My lovely sister 💕 Binti wa zamani
Miss you mum 🥰

Wallah huyo jirani atakua kivuruge Lamomy

Mie nipo zangu namtumikia tajiri
Lakini ingekua mimi na nikajua ni wewe lazima ninge ku hug 🫂 babes

I think unajua mimi na wee tulivyo
Nakupenda mnoooooo😘

Ila sasa unaenda wapiiiiiiiiiiiiiiiiii ?

#Free Tundu Antipas Lissu ❤️
 
My lovely sister 💕 Binti wa zamani
Miss you mum 🥰

Wallah huyo jirani atakua kivuruge Lamomy

Mie nipo zangu namtumikia tajiri
Lakini ingekua mimi na nikajua ni wewe lazima ninge ku hug 🫂 babes

I think unajua mimi na wee tulivyo
Nakupenda mnoooooo😘

Ila sasa unaenda wapiiiiiiiiiiiiiiiiii ?

#Free Tundu Antipas Lissu ❤️
Mi nipo zangu sehemu moja hivi nasubiria nifanye jambo langu..!! 😹😹
 
Uzuri hatujuani ila wana JF kwenye hizi treni za asubuhi tuko wengi sana 🤣

Mtu wa pembeni yangu nilipokaa mkaka nimeona tunaperuzi wote JF, siti ya mbele yangu mdada naye anaperuzi JF na anasoma mada za siasa sijui ni wewe ShesRise_1 au asije akawa Lamomy, hapa nawaza tu tungekua tunajuana sijui tungesalimiana au tungekaushiana tu.

View attachment 3705397

Anyway wasafiri wote tulio safarini leo, piteni hapa tuchangamshane safarini.
  1. Unasafiri kutokea wapi?
  2. Uko peke yako na umeshaanza kumsemesha huyo stranger uliyekaa naye karibu?
  3. Unatumia chombo gani cha usafiri?
  4. Kwa wakaka, kwanini mnapenda sana kujitanua miguu yenu mkiwa mmekaa, na hamjali hata kama mnabana wenzenu wa pembeni?

Asubuhi njema!
😹😹😹 Ni mimi huyo tupo wote royal..!!
 
Back
Top Bottom