Tulio na sitosahau kwa sababu ya changamoto za kiuchumi tukumbushane na kufarijiana hapa

Pole sana mtoa mada, iliwahi nikuta mimi nlimtanguliza hospitali private wiki nzima.
Cha kushangaza hadi anafika stage ya pili&mwisho Doctor anamwambia bado subiri,nlipokuja kufika nkakazia kiume nikawa mkali sana badaye shemeji yenu alikuja kujifungua ila mtoto alishachoka hadi akawa amekunywa maji machafu nliumia sana.
Haikupita muda mwanangu alifariki, sitokaa nisahau nlilia sana siku hio nlileta noma hadi coctor akasimamishwa kazi. Baada ya kagundua doctor alikuwa amebwia pombe kinaniumaga mpaka leo jembe langu nlishaliandalia na jina la Calvin kabisa.
Mkuu pole Sana, nadhan tunashare experience moja, inauma utadhan Kuna kitu kinakereketa rohon, Cha msingi ni kupiga moyo konde , mwisho wa siku maisha lazima yasonge!
 
Mwaka huu SITASAUSAHAU kabisa, ndani ya wiki mbili nilipoteza wazazi wangu wapendwa. Alianza Mama, badae Baba. Ila MUNGU bado ni mwema hata katika mapito haya.
pole sana mkuu.

mtoa mada nimejisikia vibaya kwa hiyo situation hasa ya kupoteza mtoto. roho imeniuma hadi nmeharibu siku.

me Mwaka huu nmepoteza baba. ni miezi mitatu imepita, lakini sijawahi zoea. nikikumbuka roho huwa inaniuma sana. huwa nawaza watu waliofiwa na wazazi wanawezaje kuwa na Amani.

mzee alikua anasema anataka kuja dar kuona fly over ya ubungo. maana alikua shabiki wa JPM. nkamwambia likizo ya june utakuja mzee. now is june, he is no more
.
 
Aisee pole sana Mkuu.
 
Pole sana kiongozi.
 
Pole sana mkuu, binafsi naona sitosahau yangu itakuwa mwaka huu. Naona kila dalili za kuteseka mwaka huu. Hapa nilipo nachezea one meal. Kodi kesho cjui namwambia nini mwenye nyumba. Ukisikia mtu anadanga. Don't blame
Njoo tuyajenge mama maisha ni mafupi haya.

Mwaka huu mgumu Sana. Njoo tujiishie zetu pamoja. Yani nikikumbuka mwaka 2019 Hadi 2021 Ni hatari Cha msingi uhai tu.
 
Pole sana mtoa mada, iliwahi nikuta mimi nlimtanguliza hospitali private wiki nzima.
Cha kushangaza hadi anafika stage ya pili&mwisho Doctor anamwambia bado subiri,nlipokuja kufika nkakazia kiume nikawa mkali sana badaye shemeji yenu alikuja kujifungua ila mtoto alishachoka hadi akawa amekunywa maji machafu nliumia sana.
Haikupita muda mwanangu alifariki, sitokaa nisahau nlilia sana siku hio nlileta noma hadi coctor akasimamishwa kazi. Baada ya kagundua doctor alikuwa amebwia pombe kinaniumaga mpaka leo jembe langu nlishaliandalia na jina la Calvin kabisa.
Pole sana mkuu!! Maisha yamebadilika sana hawa watoa huduma za Afya / madaktari baadhi hawana hata chembe ya huruma..

Huwa wanatabia ya kuwa wakali na kutotaka kuulizwa maswali na wateja wao.. hata kupokea mawazo , au kumsikiliza mtu anashauri gani!
 
Wazazi kuondoka
Kazi kusimama
Biashara kugoma

Acha kabisa
Ukikaa ukivuta kumbukumbu unajiuliza ulivukajeata
Haya mapito usimuliwe tu, kwa waliopitia mziki wake wanaujua vizuri, hutakaa usahau maisha yako yote, sikumbuki hata niliyapitaje pitaje, ila hapana!! thanks God, niwape pole wale wote waliopita humo.
 
pole sana mkuu.

mtoa mada nimejisikia vibaya kwa hiyo situation hasa ya kupoteza mtoto. roho imeniuma hadi nmeharibu siku.

me Mwaka huu nmepoteza baba. ni miezi mitatu imepita, lakini sijawahi zoea. nikikumbuka roho huwa inaniuma sana. huwa nawaza watu waliofiwa na wazazi wanawezaje kuwa na Amani.

mzee alikua anasema anataka kuja dar kuona fly over ya ubungo. maana alikua shabiki wa JPM. nkamwambia likizo ya june utakuja mzee. now is june, he is no more
.
Pole sana Mkuu. MUNGU awe faraja yako.
 
Pole sana mtoa mada, iliwahi nikuta mimi nlimtanguliza hospitali private wiki nzima.
Cha kushangaza hadi anafika stage ya pili&mwisho Doctor anamwambia bado subiri,nlipokuja kufika nkakazia kiume nikawa mkali sana badaye shemeji yenu alikuja kujifungua ila mtoto alishachoka hadi akawa amekunywa maji machafu nliumia sana.
Haikupita muda mwanangu alifariki, sitokaa nisahau nlilia sana siku hio nlileta noma hadi coctor akasimamishwa kazi. Baada ya kagundua doctor alikuwa amebwia pombe kinaniumaga mpaka leo jembe langu nlishaliandalia na jina la Calvin kabisa.
Pole sana Kaka.
 
Back
Top Bottom