Baada ya kuwasikia wale wanaounga mkono mradi wa DTW na wanaopinga hebu sasa tuweke hadharani hoja zinazotolewa na pande zote mbili.
Jaji Warioba makamu wa kwanza wa rais na waziri mkuu mstaafu: Kuna haja ya kuviangalia baadhi ya vipengele kwenye mkataba.
Professor Shivji: Uchambuzi wa mkataba na kuhitimisha kuwa Tanzania tumepewa wajibu DTW wamepewa manufaa ya mradi
Peter Madeleka mwanasheria: Mkataba umekiuka sheria ya hifadhi ya maliasili ya mwaka 2017, imekiuka katiba yetu kwa vifungu vilivyotajwa pia Dubai haina mamlaka ya kusaini mkataba wa kimataifa.
Wakili Boniface Mwabukusi: Vifungu na 21, 23 na 25 vinavyohusu usuluhishi, ukomo na hauwezi kuvunjwa
Tundu Lissu: Mkataba hauna vifungu vinavyoainisha manufaa yake kwa Tanzania
WANAOTETEA
Waziri mkuu: Mkataba utaongeza ufanisi wa bandari kwenye kupakia na kupakua mizigo na kutuwezesha kushindana na bandari jirani, utaongeza ajira kwa Watanzania
Professor Kitila Mkumbo: Tanzania tutapata sh trillion 26 bila kutaja vifungu vinavyoainisha hivyo kwenye mkataba.
Mwanasheria mkuu wa serikali: Ukomo wa mkataba upo kwenye mikataba ya baadae haya ni makubaliano ya ushirikiano
Spika wa bunge: Huu si mkataba bali makubaliano.
Kamati kuu CCM: Tunaunga mkono uwekezaji wa DTW.
Wewe unasemaje?