ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,496
- 119,285
Acha zako....tumekubaliana tunaanza leo mapumziko hadi jumapili
Umetoka kwa mkoloni? Haya nipitie twende mamito.
Acha zako....tumekubaliana tunaanza leo mapumziko hadi jumapili
Umetoka kwa mkoloni? Haya nipitie twende mamito.
Achana naye mwambie unamtu wako
aieee kwa hiyo wewe ulimfanya matusi alafu umwache? agome kabisa
pumbavu kabisaaa. mxiiiiiiieeew eti nina mtu wangu... wakat unamzoesha kuwa na ww hukujua kuwa una mtu wako... yan malaya wengine bhana... ndo ukome na Karma itakurudia ndo utajua na yy huyo dem ni mtu na anastahil mtu pia...huyo unaemuona mtu wako akikutenda.
Baaaaaaaar!Angalia unaweza chagua pabaya unayemkataa kumbe ndiyo mke bora
hata km ni mie nakomaa yan unipagaranyuee wee af useme baadae eti una mtu wako..kwan mie sio mtu?nyooooo
Nashukuru kwa ushauri, changamoto, harshly comments zenu wadau na kila aina ya response ila napenda kuwa taarifu kuwa tumefikia makubaliano. Tupo kwenye utekelezaji now
Chalii wa ara tumekubaliana kuwa kaka na dada since last three weeks and she is gone to her homeland