Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,154
- 447
Kuna dada nilikutana nae mjini (bar) tukadate.
Nikahama mji akaja kunitembelea Hataki kutoka.
Nina mpenzi wangu nataka ishi nae lakini yeye amekuwa kikwazo.
Naomba ushauri
Katiba mpya 50/50............... Hii ndiyo habari ya mjini!