Tulikutana mjini anataka ndoa

Tulikutana mjini anataka ndoa

Ingekuwa ni tukio la Bar peke yake tungemsikizia shetani kwamba amekupitia lakini umehama mji na bado ukam-entertain akaja alafu tena bado unataka ushauri kutoka kwa wadau, kama ulikuwa humtaki iwaje tena umruhusu akufuate huko uliko

kabisa......tena huyo dada aendelee kukomaa tu......mtu haumtaki unamleta mpaka kwako ili iweje.....
 
ndiyo faida ya kutotulia na mtu mmoja.....sasa itakula kwako......kama ulimuona wa bar si mngeishia bar....imekuwaje mpaka ukamleta uko mji wako mpya.....
 
Eeeh ushauriwe nini sasa? Ulijua kabisaa unamkeo mtarajiwa halafu bado unasim....!! Lol ninahasira kama ndo mie.
 
kabisa......tena huyo dada aendelee kukomaa tu......mtu haumtaki unamleta mpaka kwako ili iweje.....

Akomae tu maana ukisafiri kutoka mji mmoja kwenda mji mwingine maana yake thamani yako kubwa kiasi kwamba jamaa hajaona mrupo wowote katika huo mji aliopo mpaka akasafirisha mzigo hivyo atangaze nia tu kuepusha shari
 
Kuna dada nilikutana nae mjini (bar) tukadate.

Nikahama mji akaja kunitembelea Hataki kutoka.

Nina mpenzi wangu nataka ishi nae lakini yeye amekuwa kikwazo.

Naomba ushauri

sasa yeye atabaki na nan vile?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom