Ingekuwa ni tukio la Bar peke yake tungemsikizia shetani kwamba amekupitia lakini umehama mji na bado ukam-entertain akaja alafu tena bado unataka ushauri kutoka kwa wadau, kama ulikuwa humtaki iwaje tena umruhusu akufuate huko uliko
Mtaka mawili kwa pupa ....ina maana alivomfanya hakujua kama ana mtu wake???? ndo akome!!!
Miss sasa ile miadi yetu vipi!!!
Na hilo ndo tatizo lenu boys...una mpenzi still undate na mwingine mntegemea nin mwana kulitaka ndo mwana kulipewa
Mwe mwe mwee kama alitakapo yeye mwenyewe?
Njoo hapa double treee
Usisahau ya mimi na wewe pia....
Wewe ni kesho jioni manake najua bado upo kwa mkoloni saivi huko...!
kabisa......tena huyo dada aendelee kukomaa tu......mtu haumtaki unamleta mpaka kwako ili iweje.....
Nani sasa huyo msichana au mwanaume
Usiniambie...double tree by Hilton ndo viwanja vyako?
Huyo msichana utajualia wapi kama alimwambia jamaa amdufue tuu basi leo hii aje atakage ndoa nani ataweza
Me naona mwanaume ndo kayataka yote
Kuna dada nilikutana nae mjini (bar) tukadate.
Nikahama mji akaja kunitembelea Hataki kutoka.
Nina mpenzi wangu nataka ishi nae lakini yeye amekuwa kikwazo.
Naomba ushauri
Ndiyo njooo huku bwana au sea clif au kunduchi hivi mmh njooo uninunulie wine
Mmetongozana
Mmedunguana
Mkapelekana majumbani
Ukahama ukamwambia
Then ukamkaribisha
Sasa hivi unajishaua humtaki