Tulikotoka: Hamisa Mobetto akimaliza Masomo yake Kidato cha Nne Tandale Sekondari

DEARS BLACK WOMEN, DON'T LET THESE BLACK MEN WITH LOW SELF ESTEEM AND THEIR OWN INSECURITIES LOWER YOUR VALUE !!!.

STOP LETTING THESE BROKEN MEN TALK DOWN TO YOU OR MISTREAT YOU IN ANYWAY !!.
 
Hamisa, akikupa Mzigo hutokula??


Mnajua heshima Hustles za MTU .



UMASIKIN UMETUFANYA LEO HII, KUFUNGUA NYUZI KIBAO, KUMJADILI MWANAMKE MDOGO WAUMRI,MPAMBANAJI ,MWENYE KUTEGEMEWA NA NDUGU,RAFIKI, JAMAA NA FAMILIA.


UMASIKINI MBAYA SANA.
 
Sema mwenzangu, sisi tunaodili na wachovu pole yetu, Dubai tunaisikia tu.
 
Hapa bongo kuna watu wanadanga kwa elf 10 tu
Na wadada wengi maarufu wanadanga bhana,Hamisa sio wa kwanza
 
Hizi nchi zetu kupiga hatua ni ngumu mno cause tuna watukuza "vilaza"
Na kupuuza mambo ya msingi
Huyo dem kugongwa na Rick Ross imekuwa habari nchi nzima

Trump alikua sahihi, shit-hole countries
Imenibidi nicheke
 
Lulu ht form four hakumaliza aliishia form 2 ujue!

Sent using Jamii Forums mobile app
Alimaliza akala four yake ya 33.
 
Alirudi tena shule maana nakumbukaga alikua alianzia pale perfect vision akaacha kabisa miaka ya 2007 hivi...!!ila kajitahidi sana kwa ule mcharuko!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…