Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,823
- 140,860
tembea na hela bandia acha ushamba tumekula mpaka visivyolika
ankel unajifunza ujambazi..!? Nauliza tu!
Kumbe yanakuaga malipo ya kiingilio. Jf ikifungwa tutapungua uzito na kuumwa
Hapo chacha akalale juu ya mtu kama anajipima uzito afu akimbieHahaha twanga pepeta kwenyewe si wanalipia. Angewasha radio nyumbani akate miuno akichoka alale
haah,haah,au piga mande ndefu
Hapo chacha akalale juu ya mtu kama anajipima uzito afu akimbie
huo ni mwili sio mzani alaaaah....
kumbe ulikuwa hujui. huwa tunalipa kiingilio mkuu.
Wallah ICHANA umepinda...!
SHOGAAAA! Usiponitaja husikii raha kabisa shosti wewe?
SHOGAAAA! Usiponitaja husikii raha kabisa shosti wewe?
Itanyoroka tuu .....wewe subir isimame itanyooka tuu
He jamani imetosha sasa acheni hii mada inatunajisi sisi wadogo.
Unataka huduma gani kunyya, kukojoa au kuoga?
Hii imekaaje wadau? Viuno tulikata wote, kileleni tukafika wote tena kwa msaada wangu! Iweje anidai malipo?
Nenda twangapepeta au subiri fally ipupa aje....ya viuno
Watoto wapo fb, humu ni watu wazima na watu wanaojifanya haziwatoshi....nakuelewa sana,lakini posts zingine uwe unazitoa usiku,mchana kuna watoto wengi umu
Zanzi? Kwani nna upungufu wa nyg mie?ankel leo umeonja c bure! mayb zanzi?