Tulikata wote viuno miuno

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Hii imekaaje wadau? Viuno tulikata wote, kileleni tukafika wote tena kwa msaada wangu! Iweje anidai malipo?
 
Ktk umasikini chochote chaweza kuwa mtaji!poor bantus.
 
nani aliingiza nyeti zake kwa mwenzake? Katika hilo tukio mtu ambae aliingiza kwa mwenzake alipe kiingilio. Hahaaaaaa.

Mkuu mshana jr lipa kiingilio bn

silipi acha aite polisi, kujituma nijitume mimi, raha apate yeye hafu malipo nifanye mimi! wallah sikubali
 
alikuwa one night stand ila dah si muoe tu usiwe unalalama jf
 
Hii imekaaje wadau? Viuno tulikata wote, kileleni tukafika wote tena kwa msaada wangu! Iweje anidai malipo?

Makubaliano yenu yalikuwaje kabla ya kuanza kukata ivyo viuno.?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…