Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,010
- 9,874
Ticha mmoja wakat anafundisha alijamba kwa bahati mbaya kwa aibu akaomba likizo ya mwezi mzima. Aliporudi akauliza wanafunzi wake "tuliishia wapi?" wanafunzi wakajibu 'tuliishia pale ulipojamba'.