Tulifanya for funny sasa anataka kujenga kibanda

Mabreka

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2012
Posts
709
Reaction score
209
Hi wana mmu,
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.

Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba nimeshampata)
mie nataka nikate kamba ili nianze maisha mapya na huyu mpenzi wangu.

Imekuwa shida mi nilikuwa najitoa kisailensa, km kuacha kumtumia sms, kupunguza kupiga sim, kupunguza kutoa huduma (financial) tangia mwaka huu uanze sijamgegeda ila naona kama haelewi, bado anangangania.

Nimekuwa natumia ubinadamu kwa kutomwambia kavukavu kuwa nataka kuoa so tuachane, nikimwonea huruma kuwa ataumia sana, coz yy anaona km vile amefika wakati hatukuwa na huo mkakati wakati tunaanza.

Kwa wale wataalam wa hiz issue huwa mna-solve namna gani bila kuacha uadui kati yenu?

NB; Najua kuna watu watadai mbona wakati namgegeda sikusema? Ujue tunaomba msaada pale tunaposhindwa tu.
 
It was for funny ?!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama ilikuwa ni one night stand sawa ungeweza kumwambia to hell nenda maana haikuwa plan yangu kuwa na wewe ila miezi nane yote unamtumia dada wa watu na then hapa unakuja kuomba ushauri wa nini ufanye
Haikuwa kwenye malengo yake kuwa yeye ni spare tyre ila alikuwa na malengo na wewe na ndo maana akakupa mwili wake kwa mategemeo kuwa kuna siku utaenda one step further ila wewe ushamchoka ndo unaamua sasa kumwambia kuwa sikutaki nina mwingine
Lolote utakalofanya jua kuwa litamuumiza kwa vyovyote vile
 
Kweli kabisa.
 
Be man enough kumwambia ukweli kama ulivyomwambia kuwa unataka ku'mgegeda' na hiyo huruma thing is just a bulshit; kwani kama unamuonea huruma mwambie ukweli ili aumie mara moja maumivu makali kuliko kumuumiza kila siku akiwaza what went wrong.
 
It was for funny ?!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama ilikuwa ni one night stand sawa ungeweza kumwambia to hell nenda maana haikuwa plan yangu kuwa na wewe ila miezi nane yote unamtumia dada wa watu na then hapa unakuja kuomba ushauri wa nini ufanye
Haikuwa kwenye malengo yake kuwa yeye ni spare tyre ila alikuwa na malengo na wewe na ndo maana akakupa mwili wake kwa mategemeo kuwa kuna siku utaenda one step further ila wewe ushamchoka ndo unaamua sasa kumwambia kuwa sikutaki nina mwingine
Lolote utakalofanya jua kuwa litamuumiza kwa vyovyote vile

Hivi hapo kwenye Red huwa mnamaana gani Rocky? Kumtumiaje yaani?

Siungi mkono anachofanya huyo kaka ila huwa sielewi mnaposema amemtumia! Haikuwa ridhaa ya mwanamke, alikuwa hamuhudumii? alikuwa hamfikishi au ni nini tu, Kwanini msiseme wametumiana?
 
Hi wana mmu,
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.

Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba nimeshampata)
mie nataka nikate kamba ili nianze maisha mapya na huyu mpenzi wangu.

Imekuwa shida mi nilikuwa najitoa kisailensa, km kuacha kumtumia sms, kupunguza kupiga sim, kupunguza kutoa huduma (financial) tangia mwaka huu uanze sijamgegeda ila naona kama haelewi, bado anangangania.

Nimekuwa natumia ubinadamu kwa kutomwambia kavukavu kuwa nataka kuoa so tuachane, nikimwonea huruma kuwa ataumia sana, coz yy anaona km vile amefika wakati hatukuwa na huo mkakati wakati tunaanza.

Kwa wale wataalam wa hiz issue huwa mna-solve namna gani bila kuacha uadui kati yenu?

NB; Najua kuna watu watadai mbona wakati namgegeda sikusema? Ujue tunaomba msaada pale tunaposhindwa tu.

......ili baadae urudi komba ya kirafiki eeeh??????
 
Mambo vip Mabreka,topic yako imenifanya nijitokeze kwa mara ya kwanza kutoa comments humu JF baada ya kuwa member wa kusoma comments tu za wadau kwa miaka mingi tu.Kwanza ni kweli ataumia sana ukimwambia live kuwa humtaki wat you can do is that mtafutie sababu namaanisha tengeneza manzingira yeye awe ndio mkosaji,kwa mfano mpe rafiki yako namba yake ya cm then amtumie msg ya mapenzi na wew ukiwepo make sure unaisoma hiyo msg kwenye cm yake.Kama utashindwa njoo tena humu humu JF tuangalie alternatives maana wasichana wamekariri kuwa kila uhusiano basi lazima mwisho wake iwe ndoa kitu ambacho sio kweli kabisa.
 
Mambo vip Mabreka,topic
yako imenifanya nijitokeze kwa mara ya kwanza kutoa comments humu JF
baada ya kuwa member wa kusoma comments tu za wadau kwa miaka mingi
tu.Kwanza ni kweli ataumia sana ukimwambia live kuwa humtaki wat you can
do is that mtafutie sababu namaanisha tengeneza manzingira yeye awe
ndio mkosaji,kwa mfano mpe rafiki yako namba yake ya cm then amtumie msg
ya mapenzi na wew ukiwepo make sure unaisoma hiyo msg kwenye cm
yake.Kama utashindwa njoo tena humu humu JF tuangalie alternatives maana
wasichana wamekariri kuwa kila uhusiano basi lazima mwisho wake iwe
ndoa kitu ambacho sio kweli kabisa.

Kama michango yenyewe ndio hii,rudi tu kuwa msomaji.
 
Mambo vip Mabreka,topic yako imenifanya nijitokeze kwa mara ya kwanza kutoa comments humu JF baada ya kuwa member wa kusoma comments tu za wadau kwa miaka mingi tu.Kwanza ni kweli ataumia sana ukimwambia live kuwa humtaki wat you can do is that mtafutie sababu namaanisha tengeneza manzingira yeye awe ndio mkosaji,kwa mfano mpe rafiki yako namba yake ya cm then amtumie msg ya mapenzi na wew ukiwepo make sure unaisoma hiyo msg kwenye cm yake.Kama utashindwa njoo tena humu humu JF tuangalie alternatives maana wasichana wamekariri kuwa kila uhusiano basi lazima mwisho wake iwe ndoa kitu ambacho sio kweli kabisa.

Yaani umeshindwa cha kumshauri mpk umtafutie kesi??/ shame on uuuuuuuu!!! kwa hiyo na wewe unafurahia alivyo mgegeda mdad wa watu kwa miezi 8 halafu leo anamwambia hamtaki, embu vaa viatu vya huyo dada ingekuwa wewe ungejisikiaje? mfano ni dada yako, au sister wako, utajisikiaje, unaweza toa ushauri hapa kumbe anayekwenda kuuliwa ni ndugu yako. Acha kabisa hiyo mambo.
 
Hivi hapo kwenye Red huwa mnamaana gani Rocky? Kumtumiaje yaani?

Siungi mkono anachofanya huyo kaka ila huwa sielewi mnaposema amemtumia! Haikuwa ridhaa ya mwanamke, alikuwa hamuhudumii? alikuwa hamfikishi au ni nini tu, Kwanini msiseme wametumiana?
Kambaku maana yangu ni kuwa kuna kupotezeana muda yaani kuna mawazo mtu anakuwa nayo na anafikiria kuwa ipo siku itakuwa hivi sasa yanapobadilika na kuja haya ya kusema kuwa nilimgegeda na sasa nimepata mwingine so namuacha huyo unakuwa kama ulikuwa unamfanya yule dada wa watu sehem ya kupunguzia matatizo yako sehem ya kupunguzia stress zako na hukuwa na mpango nae
Maana halisi ni kuwa wote wametumiana ila kwa malengo tofauti mmoja ana malengo ya muda mrefu mwingine ana malengo ya muda mfupi ambayo hayana future
 
Last edited by a moderator:
Hi wana mmu,
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.

Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba nimeshampata)
mie nataka nikate kamba ili nianze maisha mapya na huyu mpenzi wangu.

Imekuwa shida mi nilikuwa najitoa kisailensa, km kuacha kumtumia sms, kupunguza kupiga sim, kupunguza kutoa huduma (financial) tangia mwaka huu uanze sijamgegeda ila naona kama haelewi, bado anangangania.

Nimekuwa natumia ubinadamu kwa kutomwambia kavukavu kuwa nataka kuoa so tuachane, nikimwonea huruma kuwa ataumia sana, coz yy anaona km vile amefika wakati hatukuwa na huo mkakati wakati tunaanza.

Kwa wale wataalam wa hiz issue huwa mna-solve namna gani bila kuacha uadui kati yenu?

NB; Najua kuna watu watadai mbona wakati namgegeda sikusema? Ujue tunaomba msaada pale tunaposhindwa tu.

Embu vaa viatu vya huyo dada, ingekuwa ni wewe ungeumia kwa kiasi gani? kwa nn mnawafanyia hivi wasichana? kwa nn mnapenda kutuumiza mioyo yetu ambayo tuaitoa kwenu kwa mapenzi? huoni kwamba unaweza hata ukamuharibia maisha yake? maana huy dada yeye kwenye akili yake alifahamu kuwa mtaendelea na step nyingine , lkn wewe unaendelea kumgegeda na humwambii kitu. Ungemwambia tangu mwanzo kwamba sina future na wewe, nafikiri angejipanga. Kwa kweli niemeumia sanaaaaaaaaaaaa! I wish ningekuwa na uwezo wa kuhukumu leo ningekuhukumu, I swear ! Ningekuhukumu!!!!! U wwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!! Hivi tumewakosea nn enyi wanaume? yaani sisi tumeumbwa kuwa midoli mbele yenu? mtuchezeee , mtugeuze mtakavyo halafu ndiyo mtuache kuwa hatufai, LoooooooooooooooH! Shame on UUUUUUUU!!!!!!!!
 
Mambo vip Mabreka,topic yako imenifanya nijitokeze kwa mara ya kwanza kutoa comments humu JF baada ya kuwa member wa kusoma comments tu za wadau kwa miaka mingi tu.Kwanza ni kweli ataumia sana ukimwambia live kuwa humtaki wat you can do is that mtafutie sababu namaanisha tengeneza manzingira yeye awe ndio mkosaji,kwa mfano mpe rafiki yako namba yake ya cm then amtumie msg ya mapenzi na wew ukiwepo make sure unaisoma hiyo msg kwenye cm yake.Kama utashindwa njoo tena humu humu JF tuangalie alternatives maana wasichana wamekariri kuwa kila uhusiano basi lazima mwisho wake iwe ndoa kitu ambacho sio kweli kabisa.
MTOTO WA DC kama ushauri wako ni huu endelea kuwa msomaji tuu na waka usiwe mchangiaji maana wewe ni wale wale wa kusema kuwa unaweza kumpata mwanamke yoyote na ukamgegeda the way unavyotaka na kumtosa at your will and at any time bila hata kujali kama yeye nae ni binadam kama wewe
Huo ushauri unaotaka kumpa ni kama wa nguvu za giza wa kutengenezewa kesi na hiyo jiweke wewe ndo unatengenezewa mazingira hayo au dada yako au mdogo wako au mtoto wako
Dhamira siku nyingine inauma sana
 
Last edited by a moderator:
We Mabreka em saa nyingine tuwe tanajitahidi kuwa na utu basi na kutua kidogo!!yaani unsema unamchukua mwenzio just for funnnn!!!
Ili kujua ukali wa hilo suala lako em ashum huyo mchumba uliyenaye saa hivi na ndio unampenda anakuja kukuambia kuwa he was just with u for fun na amepata wake wa moyo atakeyeolewa naye.utajisikiaje??Usimlaumu huyo mdada kwani ulipomuaproach ye tayari alikuweka moyoni na hilo suala la kuspend tu hakuwa nalo kichwani kwa hiyo sasa hivi kimsumbuacho sio kukosa uelewa ila ni mapenzi aliyonayo kwako.Wewe unaonge kwa ujasiri na kuomba ushauri hapa jf kwa sababu sio wewe unayeiface hiyo hali ila nakuassure na honestly speaking ulivyomtendea mdada huyo sio fair kabisa.
Jifikirie ndio ungekuwa ni wewe ungefanyaje?na ndio maana biblia inatuonya kwamba usilopenda utendewe usimtedee mwingine na unalopenda utendewe mtendee mwingine pia.
Hi wana mmu,
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.

Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba nimeshampata)
mie nataka nikate kamba ili nianze maisha mapya na huyu mpenzi wangu.

Imekuwa shida mi nilikuwa najitoa kisailensa, km kuacha kumtumia sms, kupunguza kupiga sim, kupunguza kutoa huduma (financial) tangia mwaka huu uanze sijamgegeda ila naona kama haelewi, bado anangangania.

Nimekuwa natumia ubinadamu kwa kutomwambia kavukavu kuwa nataka kuoa so tuachane, nikimwonea huruma kuwa ataumia sana, coz yy anaona km vile amefika wakati hatukuwa na huo mkakati wakati tunaanza.

Kwa wale wataalam wa hiz issue huwa mna-solve namna gani bila kuacha uadui kati yenu?

NB; Najua kuna watu watadai mbona wakati namgegeda sikusema? Ujue tunaomba msaada pale tunaposhindwa tu.
 
Last edited by a moderator:
It was for funny ?!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama ilikuwa ni one night stand sawa ungeweza kumwambia to hell nenda maana haikuwa plan yangu kuwa na wewe ila miezi nane yote unamtumia dada wa watu na then hapa unakuja kuomba ushauri wa nini ufanye
Haikuwa kwenye malengo yake kuwa yeye ni spare tyre ila alikuwa na malengo na wewe na ndo maana akakupa mwili wake kwa mategemeo kuwa kuna siku utaenda one step further ila wewe ushamchoka ndo unaamua sasa kumwambia kuwa sikutaki nina mwingine
 
Embu vaa viatu vya huyo dada, ingekuwa ni wewe ungeumia kwa kiasi gani? kwa nn mnawafanyia hivi wasichana? kwa nn mnapenda kutuumiza mioyo yetu ambayo tuaitoa kwenu kwa mapenzi? huoni kwamba unaweza hata ukamuharibia maisha yake? maana huy dada yeye kwenye akili yake alifahamu kuwa mtaendelea na step nyingine , lkn wewe unaendelea kumgegeda na humwambii kitu. Ungemwambia tangu mwanzo kwamba sina future na wewe, nafikiri angejipanga. Kwa kweli niemeumia sanaaaaaaaaaaaa! I wish ningekuwa na uwezo wa kuhukumu leo ningekuhukumu, I swear ! Ningekuhukumu!!!!! U wwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!! Hivi tumewakosea nn enyi wanaume? yaani sisi tumeumbwa kuwa midoli mbele yenu? mtuchezeee , mtugeuze mtakavyo halafu ndiyo mtuache kuwa hatufai, LoooooooooooooooH! Shame on UUUUUUUU!!!!!!!!
Ndio maana nakulavugi hivyohivyo my Lisa.pwenti 100%%%%%%%%%.
 
Last edited by a moderator:
Lol! Ungemwambia mapema kama ni lifti tu ili asianze kupiga na honi baadae akuombe raundi... Ila kwa sasa we mwambie ukweli tu, though truth is hard to swallow...
Hi wana mmu,Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba nimeshampata)mie nataka nikate kamba ili nianze maisha mapya na huyu mpenzi wangu.Imekuwa shida mi nilikuwa najitoa kisailensa, km kuacha kumtumia sms, kupunguza kupiga sim, kupunguza kutoa huduma (financial) tangia mwaka huu uanze sijamgegeda ila naona kama haelewi, bado anangangania.Nimekuwa natumia ubinadamu kwa kutomwambia kavukavu kuwa nataka kuoa so tuachane, nikimwonea huruma kuwa ataumia sana, coz yy anaona km vile amefika wakati hatukuwa na huo mkakati wakati tunaanza.Kwa wale wataalam wa hiz issue huwa mna-solve namna gani bila kuacha uadui kati yenu?NB; Najua kuna watu watadai mbona wakati namgegeda sikusema? Ujue tunaomba msaada pale tunaposhindwa tu.
 
Back
Top Bottom