Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
Ni mmoja kati ya watu niliyovutiwa sana hapo mwanzo na CHADEMA ingawaje mimi ni muumini wa Chama Kimoja na raisi mwenye absolute Power lkn niliwapenda chadema, kuanzia Mbunge wangu Mdee, mpka Super Mnyika wote hawa niliwakubali sana na nipenda kauli mbiu zao kama tulianza Mungu na tutamaliza Mungu nilipenda kwa maana niliamini ya kwamba waliweka hofu ya Mungu mbele mpaka pale walipomchukuwa fisadi Lowasa aliyekataliwa na CCM na sasa nawabadilishia kauli mbiu yao kwamba ,,Tulianza na Mungu na tunamaliza na Fisadi Lowasa"