Tuliaminishwa na Media kuwa Bakhresa anakwepa kodi kumbe upotoshaji baada ya kauli ya Rais

We umeleta habari ya uchochezi. Wajanja tumeshajua unataka kutuambia maamuzi ya kuizuia sukari ya mzee Bakhresa, rais wetu mpendwa alifanya maamuzi ya mwendo kasi.

Na ili kutomuudhi mlipa kodi mzuri prezidaa ametoa ardhi kama pole kwa usumbufu.

Najua unataka kutuambia Rais amejifunza kutokana na makosa. Na kwamba hatawasikiliza tena washauri uchwara wa pale Lumumba.
 
Hoja zimeisha umebakisha viroja Ahahahhahahaha!!

Hoja ya sukari msome tena Rais wetu Dr Magufuli.

RAIS Dk. John Magufuli, amemwagiza Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Charles Mwijage kumrudishia mfanyabiashara maarufu nchini, Said Salim Bakhresa sukari yake iliyozuiwa bandarini kwa sababu biashara yake ina tija kwa taifa.

Bavicha tu ndiyo hawawezi kumuelewa rais Magufuli.

Nasikia sasa hivi Ufipa njaa imetawala.
 
Wakati anaizuia waganga njaa walimdanganya rais wetu kuwa sukari haijalipiwa kodi.

Hivi sasa nadhani atakuwa makini. Mmamuaibisha rais nyie waganga njaa wa Lumumba. Hii kufidia heka elfu 10 si mchezo... imemuuma sana. Jiandaeni kutumbuliwa.
 
Uwa najiuliza sana Mbowe pamoja na elimu yake kiduchu ya kadato cha nne lakini kaweza kuwashikia akili wote mmekuwa mateka wake.
 
Uwa najiuliza sana Mbowe pamoja na elimu yake kiduchu ya kadato cha nne lakini kaweza kuwashikia akili wote mmekuwa mateka wake.
Hoja hapa ni sukari. Waganga njaa wa Lumumba mmemdanganya rais akazuia sukari ya mlipa kodi mzuri. Sasa rais amelazimik kumfidia mzee wa watu ekari elfu 10 ili kumbembeleza mzee wa watu ajenge kiwanda kingine.

Mmempotosha rais vijana wa Lumumba.
 
Naona mwendelezo wa viroja unaendelea unasema hoja ni sukari wewe tena huyo huyo unarukia Lumumba tena.

Ufipa nasikia hamna posho saizi nafasi yako kachukuwa Mmwawia.

Hoja hii hapa.

RAIS Dk. John Magufuli, amemwagiza Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Charles Mwijage kumrudishia mfanyabiashara maarufu nchini, Said Salim Bakhresa sukari yake iliyozuiwa bandarini kwa sababu biashara yake ina tija kwa taifa.
 
kweli unaishi hapa nchini wewe juz tu hapa hukusikia walivyokua wakifanya bandarini
 
Nani ana takwimu za ulipaji wake kodi miaka mitano iliyopita? Linaweza kutupa jibu sahihi.
Matajiri wengine ulipaji wao6ukoje ukilinganisha na Bakheresa?
Volume zao za biashara zipoje ukiwalinganisha? Kuna wakati Mufuruki alikuwa mlipaji mkubwa lakini sidhani kama ndiyo alikuwa na volume kubwa ya biashara. Labda alikuwa mzalendo zaidi kwenye kulipa kodi.
 
hamna mkuu. hao kwenye red siyo waliokuwa wanamsema huyu mzee.

sema tu kuna watu wameamua kubadilika kutoka kuwa mkaa na kuwa chokaa!
 
Mmempotosha rais akazuia sukari ya mlipa kodi... sasa analazimika kutoa ekari elfu 10 kama fidia.

Mkandanganya rais bandarini hata ikija meli moja hatutatetereka... hivi sasa kaenda kumwangukia Kabila aitumie bandari ya Dsm

Mkamdanganya tunaweza kuishi bila kutegemea misaada ya wafadhili.. tetemeko hapo Kagera tu tumewavunjia vidole wafadhili...

Lumumba mmempotosha sana rais. Uzuri kashashtuka hivi sasa anawasikiliza wataalam zaidi.
 
Nchi hii inaendeshwa kipropaganda halafu wanasiasa wengi ni wanafki na mungu hamfichi mnafki siku ikifika wanajikanyaga wenyewe ona sasa Jana mkwepa kodi leo mlipa kodi hodari"
Tumuelewe nani?
 
Msome Rais kiduchu maana mlisema anaiga sera zenu Chadema.

“Tena ndugu yangu, nitakupa eneo ulime miwa ili upate sukari ya viwandani na ya majumbani, tena nitakupa bure, wewe Bakhresa umenifurahisha sana".
 
Mbona hamuongelei inshu za ufisadi kama [HASHTAG]#Escrow[/HASHTAG],Lugumi ,ununuzi wa kivuko kibovu n.k?
Mbona wewe huongelei ufisadi wa Richmond na hati fungani ambayo imesababisha mkwe wa fisadi Siyoi Sumary kusaota lumande hadi leo,halafu nasikia kuna mgombea alijinyea jukwaani mbona huwa humuonglei.
 
Msome Rais kiduchu maana mlisema anaiga sera zenu Chadema.

“Tena ndugu yangu, nitakupa eneo ulime miwa ili upate sukari ya viwandani na ya majumbani, tena nitakupa bure, wewe Bakhresa umenifurahisha sana".
Lazima amdurahishe baada ya kugundua waganga njaa wa Lumumba mlimpotosha
 
Lazima amdurahishe baada ya kugundua waganga njaa wa Lumumba mlimpotosha
Amdurahishe ndiyo nini?

Nasikia sasa hivi ofisi za Chedama zipo Masaki kwa Lowassa Ufipa mmebaki nyie tu.

Moja ya sifa ya Rais wetu hana sifa ya kupotoshwa au unajipendekeza, msome kiduchu tena Rais wetu anavyomuelezea Bakhresa.

“Kupitia kilimo hicho Watanzania wengi watapata ajira na pia kiwanda kitatumia sukari ambayo ni salama kwa afya zetu na pia kuongeza upatikanaji wa sukari hapahapa nchini,”
 
Hali ngumu inapompata mwanadam anaweza kufanya au kusema lolote,tafakari chukua hatua
 
Unamind mpaka typo?? Haya isomeke amfurahishe... happy?? Au unabisha rais hajamfurahisha mzee wtu kwa kuiachia sukari yake baada ya kuizuia kimakosa?? Na makosa hayo aliyafanya kwa ushauri mbaya wa waganga njaa wa Lumumba... Ndio maana kwa hasira hajampa yeyote miongoni mwenu zawadi ya ukuu wa wilaya..

Ishu ya ofisi za CDM kuwa Masaki au Ufipa inahusiana nini na hoja kuu??

Hoja yetu ya leo ni Rais kuiachia sukari ya Mzee Bakhresa baada ya kugundua alipotoshwa na waganga njaa wa Lumumba. Na imemlazimu atoe ekari elfu 10 ili kumtaka radhi mzee wetu asije akasitisha kuanzisha kiwanda cha sukari.

Unafikiri rais hana akili? Asingetoa ekari elfu 10, mzee wa watu angekasirika... na unajua angekasirika kingetokea nini??? Nchi ya viwanda ingekuwa historia.

Basi niambie msingempotosha angeizuiaje sukari ya mlipa kodi mzuri??
 
Wewe kuandika Lumumba sawa mimi nikitaja Ufipa mnaposhinda mnakunywa mbege huku mnadanganyana kuwa rais anafuata sera za Chadema unawaka hahahaha Bavicha bana.

Hoja yetu ya leo ni "Tuliaminishwa na Media kuwa Bakhresa anakwepa kodi kumbe upotoshaji baada ya kauli ya Rais" kama uzi wangu ulivyo.

Sasa endelea kumsoma Rais kiduchu hapa chini.

"Mbali na hayo, Rais pia amelipa Shirika la Umeme (Tanesco) miezi miwili kufikisha huduma ya umeme katika kiwanda cha kusindika matunda na kuzalisha juisi cha Bakhresa Food Products Ltd kilichopo Mwandege wilayani Mkuranga, mkoani Pwani."

Wewe umekuwa mtu muhimu sana kwenye huu uzi unaenda kwa kasi tupo pamoja sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…