Tuliaminishwa na Media kuwa Bakhresa anakwepa kodi kumbe upotoshaji baada ya kauli ya Rais

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,932
32,340
Wanaukumbi.

Kupitia humu JF tulikuwa tunasoma habari kutoka kwa members wenzetu na waandishi wa habari kuwa mfanyabiashara Said Bakhresa, ni mkwepa kodi mkubwa ambaye anaikosesha serikali mapato.

Lakini leo kinyume chake tumemsikia leo Rais Magufuli, akisema kuwa "hongera sana mzee wangu Bakhresa. Wewe ni mlipaji kodi mzuri, na mimi napenda walipa kodi."

Sasa najiuliza hizo habari za ukwepaji wa kodi wa Said Bakheresa, waandishi wetu wa habari na baadhi ya members wenzetu humu JF walikuwa wanazipata wapi.

Au ndiyo muendelezo wa chuki zisizo na msingi dhidi ya mzalendo mlipaji kodi mzuri Mzee Bakheresa.

Mtoto wa Bakhresa, katika risala yake pale kiwandani amesema kuwa wamelipa kodi jumla ya Tsh. 50 Billioni.

2016-10-06-21-58-33-604991980.jpeg
 
Hahaaa... Huyu wakwetu ngoja nimwanzishie thread:(:(. Aliyekuaminisha nani?
 
Wanaukumbi.

Kupitia humu JF tulikuwa tunasoma habari kutoka kwa members wenzetu na waandishi wa habari kuwa mfanyabiashara Said Bakhresa, ni mkwepa kodi mkubwa ambaye anaikosesha serikali mapato.

Lakini leo kinyume chake tumemsikia leo Rais Magufuli, akisema kuwa "hongera sana mzee wangu Bakhresa. Wewe ni mlipaji kodi mzuri, na mimi napenda walipa kodi."

Sasa najiuliza hizo habari za ukwepaji wa kodi wa Said Bakheresa, waandishi wetu wa habari na baadhi ya members wenzetu humu JF walikuwa wanazipata wapi.

Au ndiyo muendelezo wa chuki zisizo na msingi dhidi ya mzalendo mlipaji kodi mzuri Mzee Bakheresa.
View attachment 413553
Mbona hamuongelei inshu za ufisadi kama [HASHTAG]#Escrow[/HASHTAG],Lugumi ,ununuzi wa kivuko kibovu n.k?
 
Siasa za chuki, udini, uzandiki, ukabila, u maslahi, ndio pekee zitakazo angamiza nchi yetu.
Discipline ni kitu muhim sana jamii ikiwa nacho.....
Hata mleta mada nadhani lengo kubwa la mada yako nyuma ya pazia ni "moja ya tajwa hapo"
Hatutafika popote kama tunajadili mambo ya kitaifa na standards kwa hisia na mapenzi, au hata imani.......
 
Wanaukumbi.

Kupitia humu JF tulikuwa tunasoma habari kutoka kwa members wenzetu na waandishi wa habari kuwa mfanyabiashara Said Bakhresa, ni mkwepa kodi mkubwa ambaye anaikosesha serikali mapato.

Lakini leo kinyume chake tumemsikia leo Rais Magufuli, akisema kuwa "hongera sana mzee wangu Bakhresa. Wewe ni mlipaji kodi mzuri, na mimi napenda walipa kodi."

Sasa najiuliza hizo habari za ukwepaji wa kodi wa Said Bakheresa, waandishi wetu wa habari na baadhi ya members wenzetu humu JF walikuwa wanazipata wapi.

Au ndiyo muendelezo wa chuki zisizo na msingi dhidi ya mzalendo mlipaji kodi mzuri Mzee Bakheresa.
View attachment 413553

Ni chuki tu za kidini mkuu,,,siunajua watu hao walivyo na chuki
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai,hata kama anakwepa kodi mfanyabiashara ni yuko mbele kuliko serikali lazima waufyate tu hawa tycoons sio watu wa mchezo wanaweza kuzamisha jahazi lako within a second na usipate msaada toka huko tulikotoka wanapata heshima yao ila kidogo tuliteleza juzi hapa naona wakongwe wamemshtua kua nahodha usicheze na wafanyabiashara chombo kitashindwa kutia nanga bandari salama hapo ndio inabidi turudi tuwapambe kwa nyimbo na vigelegele na ndio maana tulisema hapa tutarudi kuwasafisha na tukubali tu sisi saizi yetu watumishi wa umma hawa hata makofi tutapiga hawana pa-kwenda ila wafanyabiashara ndio pumping machine ya damu kwa uchumi wetu.
 
sio kwamba alilipa madeni yake,hivyo amejisafisha. vp pia azam media na VAT au huyu bwana hahusiki. Taarifa za kushutumiana sio nzuri.
Mkuu kwa faida ya JF unaweza kutufahamisha hayo madeni yake aliyolipa yalikuwa kiasi gani?

Na hayo madeni alikopa wapi mkuu?

Tunasubiri majibu.
 
Wanaukumbi.

Kupitia humu JF tulikuwa tunasoma habari kutoka kwa members wenzetu na waandishi wa habari kuwa mfanyabiashara Said Bakhresa, ni mkwepa kodi mkubwa ambaye anaikosesha serikali mapato.

Lakini leo kinyume chake tumemsikia leo Rais Magufuli, akisema kuwa "hongera sana mzee wangu Bakhresa. Wewe ni mlipaji kodi mzuri, na mimi napenda walipa kodi."

Sasa najiuliza hizo habari za ukwepaji wa kodi wa Said Bakheresa, waandishi wetu wa habari na baadhi ya members wenzetu humu JF walikuwa wanazipata wapi.

Au ndiyo muendelezo wa chuki zisizo na msingi dhidi ya mzalendo mlipaji kodi mzuri Mzee Bakheresa.
View attachment 413553
Kwahiyo zile Billion nane alirejeshewa?
 
Back
Top Bottom