Tuliachana kisa chaja

siku ukishikwa na nyege utamtafuta tu πŸ˜ƒ
 
Wanawake wanapendaga attention na care kwa vitu vidogo vidogo kama hivyo, sijashangaa sana
 
Nilifikiri ni thread ya Mpwayungu.
 
Mlikuwa mnapasha viporo Sasa vimeiva mkabwagana haya Baki na huyo main chick
 
Kwani wewe huna chaja hadi ubebe ya mwenzako?
 
Wanawake wwngine huthamini vidogo sana na kusahau makubwa waliofanyiwa.
Binafsi nimekuelewa sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…