kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,797
- 20,745
Sio utani hii ni ukweli.Mkuu chaja ya TECNO si ungenunua tu njiani [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Natania tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu chaja ya TECNO si ungenunua tu njiani [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Natania tu
Siku zote Kaa ukijua wanawake wanafalsafa hii"chake ni chake na chako ni chake"Very interesting,
Kuna mdada flani nilikuwa natoka nae mwaka Jana, yeye anaishi kwake na Mimi kwangu,
Kwa mazingira ya pale kwangu nisingeweza kumleta kwa sababu mchumba anakujaga Mara kwa Mara na anafahamika na watu wa pale, Ni ngumu kuchanganya,
Huyu bidada huwa tunakutania lodge tunafanya yetu kila mtu anapita hivi!
Tuje kwenye kisa, Kuna siku Kama kawaida tulilala wote, Sasa usiku nikjisahau sikuweka simu chaji, nastuka asbh ina asilimia 4, job huwa nawahi Sana, nikamuomba niondoke na chaja yake akaitikia, kumbe alikuwa na wenge la usingizi. Mimi nikaibeba nikaenda nayo ili nikachajie job,! Na mezani nilimuachia kiasi kadhaa Cha hela ambazo aliniomba anataka kufanyia Jambo fulani!
Sasa alivyokuja kustuka akili zikamrejea akaona kumbe amekosea kuniachia chaja yake, zilipigwa simu hizo Kama mwizi vile, plus sms zisizoisha! nikamjibu shortly ntakuletea jioni !
Kweli jioni nikampelekea, from there ukawa mwisho wa mahusiano, alilia na kulalamika Sana lakini sikumsamehe!
Wanawake mnajikuta Nani ? Mtu anakugharamikia lakini kitu kidogo tu chako unalalamika mpaka mishipa ya shingo ?? Ni kitu gani Cha kijinga kilikufanya ukaachana na mpz wako ?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mke wangu naona hii falsafa bado hajaipata...kila dili akipiga kazini lazima Mimi ndo nilipangie matumizi.Siku zote Kaa ukijua wanawake wanafalsafa hii"chake ni chake na chako ni chake"
Vise versa is invalid
🏃🏃Mke wangu naona hii falsafa bado hajaipata...kila dili akipiga kazini lazima Mimi ndo nilipangie matumiz
Sfi sana hawa viumbe n wabinafsi sanaVery interesting,
Kuna mdada flani nilikuwa natoka nae mwaka Jana, yeye anaishi kwake na Mimi kwangu.
Kwa mazingira ya pale kwangu nisingeweza kumleta kwa sababu mchumba anakujaga Mara kwa Mara na anafahamika na watu wa pale, Ni ngumu kuchanganya.