Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

Paskali, najaribu kukuelewa. Unachomaanisha ni kwamba, KAMWE CCM HAITAKUBALI TUME HURU YA UCHAGUZI. Kwa hiyo mfumo itaendelea kuwa huu huu.
Nini kifanyike ili zauti ya Watanzania iheshimiwe kwenye Sanduku la Kura?
KATIBA mpya, Katiba mpya, Katiba Mpya.

CCM haitakubali Tume huru kirahisi,

Tutapambana kuidai.

Jiandae Kwa Mapambano kudai KATIBA mpya na TUME HURU ya UCHAGUZI na au ungana na CCM kuikataa.
 
Wangesema wengine kinyume chake sasa
 
Iwapo iko hivyo Imani basi kutengenezwe uwanja sawa wa kushindania ndio kauli zote hizi zije unaomba amani huku nyuma umeficha bisibisi mwenzeo hana kitu kbs and then unajisifu

Kwanza tutambue uwezo wa washindani wetu kufikia kuwa na robo ya wabunge bara na nusu zenj ilihali kwa zaidi ya miaka 30 nchi ilikuwa ya Chama kimoja tu kufikia kuwa na kitu maana yake wanaweza kufanya kitu iwapo tu levle of playing field iko sawa
 
Wapinzani ni wehu/ vichaa hivyo naungana na spika wangu wa bunge langu β€œCCM” iendelee kutawala maana wapinzani hawajitambui
 
Huyu mama inaonekana hata magazeti hasomwi.
Ndugu Kakuru Bashiru alishaongea maneno Kama haya ya kufuru.
Kilichompata hatakaa asahau.
 
Hawa mbwa wanasahau wanapita tuu, legacy yake ni kuongoza bunge la wapumbavu walioingia kwa wizi wa kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…