Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,815
- 218,476
Tulisema tangu awali kwamba huyu mama anatumwa na ngazi za juu kuna waliotubishia, sasa mambo ni hadharani.
Amekusanya aliowaita wazee wanaoishi kwenye mazingira magumu kwenye ukumbi wa Royal Tughimbe eti kwa lengo la kuwalipia bima ya afya! Alikuwa wapi miaka yote kufanya haya? Anagawa rushwa huku anatazamwa tu na TAKUKURU!
Kwanza Mbeya haijawahi kuwa na masikini hata 100, lakini Tulia kakusanya mashoga zake 3420 halafu anaidhalilisha Mbeya na kuwaita wazee wasiojiweza ili kutimiza mipango yake ya rushwa! Mbeya sio Dodoma. Tulia endelea kugawa rushwa lakini tafadhali usijaribu kuidhalilisha Mbeya.
Mkoa wa Mbeya haujawahi kuwa na idadi kubwa kiasi hicho ya wasiojiweza, huu ni udhalilishaji na nachukua nafasi hii kuwaomba Wazee wa Mkoa wa Mbeya kumuonya Tulia Ackson kuacha kudhalilisha Mbeya kwa manufaa yake ya kisiasa vinginevyo sisi vijana hatutakubali.